Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

Rubbish
 
Kabisa wana CCM kwa kauli moja wanaunga mkono kauli ya mzee makamba kwamba marehemu alikuwa nduli mwenye roho mbaya
 
Kama CCM imeungana na viongozi kama kina Makamba Sinia tusitegemee maendeleo. "kwamba chuo kajenga babako"
 
Leta ushahidi wa Hicho ukizungumzacho
Akina Makamba ni wauaji walimuua Dkt Magufuli. Hakuna kitu kibaya kama huu mkutano wa kujigamba eti marais wa ki Kristo walikufa kwa sababu ni wabaya na wale waislamu waliopo hai hawajafa kwa sababu ni wazuri, na kibaya eti hawajafa akina kinana kisa eti ni watu wema. Mwambie mwenyekiti wetu tumetoka Dodoma na maumivu makali sana tena mwambie atajuta kutujua 2025. Sasa hivi tutajifanya wajinga ila tunajua nguvu yetu iko wapi.
 
Usipende kuandika vitu pasipo kuwa na ushahidi,usipende kuzusha vitu kwa maslahi yako binafsi, usipende kufanya upotoshaji kwa madhumuni binafsi
 
Usipende kuandika vitu pasipo kuwa na ushahidi,usipende kuzusha vitu kwa maslahi yako binafsi, usipende kufanya upotoshaji kwa madhumuni binafsi
Wewe kiumbe una akili timamu???? Hivi hujamsikia Mzee Makamba akisema Kikwete na Kinana hawajafa kwa sababu ni watu wazuri???? Kaa ujidanganye, tunasubiri tuwaone wakiishi milele Makamba, Kikwete, na Kinana maana wao wana mkataba na Mungu hawatakufa.
 
Mh Mwenyekiti wetu alishatolea ufafanuzi kauli hiyo
 
Mh Mwenyekiti wetu alishatolea ufafanuzi kauli hiyo
Mwenyekiti wetu hakutolea ufafanuzi bali alisisitiza alichokisema Mzee Makamba na ufafanuzi siyo msamaha. Sisi wana CCM tumechukizwa sana tena mwambie tupo kimya ila tumeumia sana. Yeye mwenyekiti hajui mle kulikuwa na watu kibao waliofiwa na watu wao wa karibu. Ina maana wote waliokufa walikuwa watu wabaya??? Yaani tunaamini hata TISS wanashughulika naye kwa namna yao maana huwezi ukajitapa kuwa fulani alikufa kwa sababu ya ubaya wake. Kikubwa mwenyekiti hakupaswa kufanya hivyo alipaswa amuite Mzee Makamba amuonye na kumtaka aombe msamaha na aseme siyo utaratibu wa CCM kushangilia vifo vya watu wake.
 
Ndio mnavyojidanganya. Hakuna genge lenye wazandiki kama hilo la kijani na njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…