Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

Hakuna nchi isiyo daiwa au kukopa,kikubwa Ni aina ya mkopo na kazi unayokwenda kufanya mkopo husika. Serikali ya Rais Dr Samia tumesikia na kuona ikichukua na kusisitiza kuhitaji na kuchukua mikopo ya masharti nafuu yasiyo tuumiza Kama Taifa. Lakini pia serikali yetu imekuwa ikiwekeza katika miradi inayogusa maisha ya watanzania
Deni ni kubwa sana boss, trillion 10 ni kulipa interest tuu, ni kama makusanyo ya TRA kwa mwaka 100% ni ya kulipa madeni, haki ya mungu CCM mmeua nchi
 
Nashukuru kwa kunirekebisha katika kosa la kiherufi nililolifanya ,Nimekubali kosa Hilo. Pili naomba uwe na Imani na serikali ya CCM maana mambo mazuri yanakuja kutokana na tunavyoona serikali ya mh Dr Samia inavyojipanga kiutendaji katika kututumikia watanzania
Tunza sana heshima yako na uache kueneza uongo.

Haya mabaya ya sasa nani kayaleta?


Kwa nini tusubiri mazuri yanayokuja?
 
Tunza sana heshima yako na uache kueneza uongo.

Haya mabaya ya sasa nani kayaleta?


Kwa nini tusubiri mazuri yanayokuja?
Tusubili mazuri zaidi ya hapa kwa miradi yote itakapokamilika vizuri,Ikumbukwe kuwa mh Rais wetu hajafikkisha hata miaka miwili ofisini
 
Tusubili mazuri zaidi ya hapa kwa miradi yote itakapokamilika vizuri,Ikumbukwe kuwa mh Rais wetu hajafikkisha hata miaka miwili ofisini
  1. Vipi kuhusu deni kufikia Tr 90+
  2. Miradi ya maendeleo (mnapeana ukandarasi) itakamilika. Je hali ya maisha ya hao mnaowaimba kuwa ndo wanufaika na hiyo miradi ipoje?
  3. Ulinzi na utii kwa Katiba ya nchi upoje kwa CCM hii yenye wakubwa wasio na makosa?
  4. Umeme na maji hali hii imeletwa chini ya ilani ipi?
  5. Mfumuko wa bei ambao hauwastui nyie mnaoeneza mazuri ya CCM ni ilani ipi imeyaleta hayo?
 
Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala, Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni uchaguzi ambao uliwateka nyara wapinzani na kujikuta macho na masikio yao yakielekezwa Dodoma,Ni uchaguzi ambao ulitawaliwa na kijani na njano kila Kona ya nchi ,mitandao ya kijamii vyombo vya habari na maeneo yote yenye mkusanyiko wa watu.

Ni uchaguzi uliodhihirisha nguvu na ushawishi iliyonayo CCM,Ni uchaguzi uliyoonyesha CCM ndio nchi yenyewe,Ni uchaguzi uliodhihirisha uimara umadhubuti na ushupavu wa CCm, Ni uchaguzi uliodhihirisha bila CCM imara lazima nchi yetu itayumba na kupoteza muelekeo,Ni uchaguzi ulionyeshaa uhodari wa CCm na Wana CCM, Ni uchaguzi uliyoonyesha Hakuna awezaye kuitikisa CCM,Ni uchaguzi uliyoonyesha namna mfumo wa CCm ulivyo imara na madhubuti,Ni uchaguzi uliodhihirisha kuwa CCM Ni kubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake,Ni uchaguzi uliyoonyesha ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.

Uchaguzi ndani ya CCM umemalizika huki ukikiacha chama kikiwa imara Sana,kikiwa na malengo ya aina moja,malengo ya kuwatumikia watanzania kwa utumishi uliotukuka na kugusa maisha yao,Ni uchaguzi ambao kila kiongozi aliyepewa dhamani ya uongozi anatambua kazi iliyopo mbele yake Ni kwenda kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika kuhakikisha watanzania wanapata huduma iliyobora kabisa.

Wana CCM wamerejea makwao wakiwa na amani na upendo ,wote wameridhishwa na matokeo yaliyotokea,wote wameridhishwa na washindi waliopatikana ,wote wamekubaliana na viongozi waliochaguliwa,wote wameridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM,wote kwa kauli moja wamekubaliana kwenda kuimarisha mshikamano wa Wana CCM katika kuijenga CCM iliyo imara itakayo kuwa na ushupavu na nguvu ya kusimamia utekelezaji wa ilani yake.

Wote wana hamasa na morali ya kufanya kazi kwa kushirikiana na serikali yao, wote wanatambua kuwa watanzania ndio mabosi wao na wenye nchi wanaopaswa kusikilizwa ,kunyenyekewa na kutumikiwa,wote wametambua kuwa Uchaguzi ujao utapimwa na wananchi kwa ubora wa kazi iliyofanyika wakati huu,Hivyo wote wapo Tayari kwa kazi kwa kushirikiana na serikali yao Inayoongozwa na Dr Samia,Hakuna anayetaka makundi Wala migogoro ndani ya chama kila mtu amehubiri umoja na mshikamano ndani ya chama,na kila mtu ametambua kuwa tunajenga nyumba moja hivyo haina haja ya kugombea Fito.

Hongera Dkt. Samia suluhu Hassani kwa kukiongoza chama chetu kutoka Dodoma salama na imara zaidi ya awali. Uchaguzi Umekwisha ,Sasa Ni muda wa kazi kuwatumikia watanzania.

Kazi Iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Kuna wajumbe bado wako Dodoma wakila Raha na kuambukizana Ukimwi, Gonorrhea na UTI sugu
 
Andika kiswahili lugha yetu Tamu na ya heshima iliyotujengea umoja wa kitaifa
Kwa hiyo kiingereza ambacho kama ulijifunzia katika ngazi Fulani ya elimu (iwapo umesoma kidogo)na kinachotumika kukuamuru hapa jf ambapo Kuna neno "forum" no lugha chungu siyokua na heshima iliyovunja umoja wa kitafa?
Ama kwa hakika WAZAZI WAKO WALIUZA NG'OMBE WAKAPELEKA NG'OMBE SHULE"
na ama kwa hakika pia Wewe ni miongoni wa wale vijana wasaliti wa taifa aliwatabiri Nyerere kwamba elimu mliyopewa kwa gharama Kubwa na taifa hili mnashindwa kuitumia kwa manufaa ya taifa hili mnawalamba matako watawala ili mpewe vyeo badala ya kuwaonesha Kuwa wapo uchi na yafaa wajifunike hata kama itagharimu uhai WAKO! Mpumbavu mmoja Wewe ashakum sio matusi ni kutokana na ukweli kwamba hutaki kujifunza unakumbatia ujinga!
 
Its true sababu hajui tofauti ya facts na propaganda! Anachokiandika mitandaoni ni nadharia ambayo ukisikiliza taarifa ya habari unaweza ukatunga story na kimetengenezea MTU personality na attributes asizokua Nazo! Huyu hafai Kuwa karibu mana atakua MTU wa nadharia TU! Tena za uongo
Uliifaa upewe ukatibu mwenezi wa chama. Unafaa Sana maana unajitolea kweli hata Kama unaongea pumba.
 
Back
Top Bottom