Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

Nna imani hata ukiwa una sali unaskiliza nyimbo za Mambuzi Kama zile za kusifu na kuabudu
 
Jenga hoja acha maneno ya kukalili Kama kasuku
Ni upuuzi ulioweka hapa.
Huna kazi ya kufanya?!
Uneliowa ngapi.
Watu tunakula mlo mmoja, watu wanatafuta maji usiku.
Kwani hapo palikuwepo na uchaguzi au walipanga majina na namba kama kawaida yao!! Nut.!
 
Ni upuuzi ulioweka hapa.
Huna kazi ya kufanya?!
Uneliowa ngapi.
Watu tunakula mlo mmoja, watu wanatafuta maji usiku.
Kwani hapo palikuwepo na uchaguzi au walipanga majina na namba kama kawaida yao!! Nut.!
Uligombea? Kama hukugombea acha kukichafua chama chetu, Demokrasia iliyopo Ndani ya CCM Ni imara na inayompa yeyote nafasi ya kushinda ikiwa una sifa za kiuongozi
 
Pole sana mkuu ila siocho ulichoandika.
Kifupi tuu ni kwamba mwenye kisu kikali ndio ataekula nyma nzuri na fastaa hapo na ishaliwa hiyo
 
Hakika uchawa unalipa,uckate tamaa.endelea kujitahidi hatimaye utapata malipo
 
Ehe na wewe umegombea nafasi gani

Ova
 
KUANDIKA NAMBA YA SIMU NI DALILI YA UCHAWA
 
Waombe moderators wahariri post yako.
Kwenye heading neno DHAMILIA lisomeke DHAMIRIA

Lakini umepost uzandiki. Kuna maumivu yapo njiani
 
ccm na wafuas wao ni mazwazwa na mashoga yanayojipendekeza kupata teuz
 
Waombe moderators wahariri post yako.
Kwenye heading neno DHAMILIA lisomeke DHAMIRIA

Lakini umepost uzandiki. Kuna maumivu yapo njiani
Nashukuru kwa kunirekebisha katika kosa la kiherufi nililolifanya ,Nimekubali kosa Hilo. Pili naomba uwe na Imani na serikali ya CCM maana mambo mazuri yanakuja kutokana na tunavyoona serikali ya mh Dr Samia inavyojipanga kiutendaji katika kututumikia watanzania
 
Na Deni la Taifa😂
Hakuna nchi isiyo daiwa au kukopa,kikubwa Ni aina ya mkopo na kazi unayokwenda kufanya mkopo husika. Serikali ya Rais Dr Samia tumesikia na kuona ikichukua na kusisitiza kuhitaji na kuchukua mikopo ya masharti nafuu yasiyo tuumiza Kama Taifa. Lakini pia serikali yetu imekuwa ikiwekeza katika miradi inayogusa maisha ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…