Usiwe MBUMBUMBU sio kila hela inajenga shule.Katiba katiba katiba
Kuanzia kipindi cha magu Hawa Marais wanatoa fedha tu kama wanatoa mifukoni kwao....
Kuna shule juzi tumeonyeshwa watoto wanaandika chini hawana hata ubao, yaani Kuna vitu ukiwaza sana unaweza kufuru
Jielimishe kidogoNadhani ifike wakati sisi tunaomlipa huyo Rais mtoa Hisani, Tupate Mkeka mzima wa Matumizi, Tunamlipa ngapi na anazifanyia nini kama ni sawa afanye anachofanya (opportunity cost)...,
Unless kama anatumia kwenye mshahara wake (na hapo itakuwa huenda tunamlipa nyingi) au anatoa kwenye urithi (Hapo I have nothing to say na aendelee na moyo wa kutoa)
Rudia nilichosema hapo Juu au hata kusoma haujui ?!!!!! Narudi tena sentensi itakayokujibu uliyosema hapo juu...Jielimishe kidogo
Kuna Bajeti ya Ofisi ya Rais Ikulu
Na kuna Bajeti ya Ofisi Binafsi ya Rais (OBR)
Na katika hizi zote bajeti ya CSR ipo, so kitulize
Kwani Mwiyi asingetosha?Ulitaka aende kwa Baiskeli?
Zimetoka kwenye mfuko upi ?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023 ameizawadia timu hiyo Shilingi Milioni 50
Rais Samia Ameunga mkono zoezi la kuchangia timu hiyo lililoanzishwa na ZBC ambapo mpaka sasa kuna ahadi ya Shilingi Milioni 90 huku Milioni 40 zikiwa zimeshakusanywa
Wakati huo huo timu ya Netbol ya Taifa imeshindwa kwenda kam sikosei Zambia sijui Msumbiji kwa kukosa tiketi za milion 20. Hawa viongozi mbona hawajui kupriotize vitu ?
Na mimi kilichonishtua ni namna mama alivyokuwa ananunua magoli milion kumi kumi aiseeAjabu sana ile taarifa ilinisikitisha sana team kukosa hela na kwa sasa Tanzania mpira ndo unaitambulisha nchi kuliko vingine! [emoji24]