Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,781
- 2,079
Asiende kabisa. Wale wana Rais wao, yanatuhusu nini? Na hatupati chochote kutoka Zanzibar. Haturuhusiwi hata kununua shamba Zanzibar. Hasara tupu.Ulitaka aende kwa Baiskeli?
Mkataba wa Nyerere na Zanzibar ni mbovu kuliko wa Chifu Mangungo.