Rais Samia Aizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50

Ulitaka aende kwa Baiskeli?
Asiende kabisa. Wale wana Rais wao, yanatuhusu nini? Na hatupati chochote kutoka Zanzibar. Haturuhusiwi hata kununua shamba Zanzibar. Hasara tupu.

Mkataba wa Nyerere na Zanzibar ni mbovu kuliko wa Chifu Mangungo.
 
Ajue kuna Waalimu hawana hata hela ya kununulia bundle za vishkwambi (vile vya Sensa)
 
Hii timu ni ya nchi ya Zanzibar chini ya serikali ya mapinduzi inayoongozwa na rais Mwinyi. Rais Samia kama ambavyo hahusiki kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu Zanzibar ndivyo hahusiki na timu hiyo zaidi ya kuwa mpenzi wa timu hiyo.
 
Katiba katiba katiba

Kuanzia kipindi cha magu Hawa Marais wanatoa fedha tu kama wanatoa mifukoni kwao....

Kuna shule juzi tumeonyeshwa watoto wanaandika chini hawana hata ubao, yaani Kuna vitu ukiwaza sana unaweza kufuru
Wanaiendesha nchi kifamilia, hiyo timu haiko chini ya marais wawili, iko chini ya rais wa Zanzibar.
 
Kama unajua hilo maelezo yako yote ya mwanzo ni PUMBA
 
Kama unajua hilo maelezo yako yote ya mwanzo ni PUMBA
Nadhani tatizo ni uelewa wako na mimi kudhani ninaongea na watu wenye uelewa hivyo kutokukuchambulia (spoon feeding)

Samia hana pesa zake (zaidi ya Mshahara wake) kwahio mifuko yoyote ile popote pale ni mali ya mlipa Kodi na hata kama ni Grants na Misaada inapewa Taasisi sababu ni mali ya Wananchi sio anapewa yeye kama yeye (Hence matumizi ya hizo fedha Mwananchi kama stakeholder ana haki ya kuhoji kama ni value for money)..., Na kama huko zipo nyingi na pengine zinahitajika huenda it's hey time zipunguzwe huko na kupelekwa pengine (Huenda hizo pesa wangepewa Baraza la Michezo Mwaka jana, mwaka unaofuata timu ya Netball isingekosa pesa za kwenda kwenye Mashindano)
 
Mara nyingi utakuta watu wanalalamikia baadhi ya matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, watakuja watu wanasema "ziko kwenye bajeti"

Kumbe hoja ni kwamba hao waandaa bajeti na wapitisha bajeti wanawekeana pesa hadi za ziada kwenye bajeti zao..

Kwanini wasiweke bajeti za kutumia kwenye mambo ya msingi,hiyo ziada iende maeneo mengine yenye uhitaji?
 
Ndio me nlisema kama hela ni zake sawa lakin atazirudisha vipi na yeye sio tajiri wala sio business mogul ? anatoa wapi hela za kutoa tu ? Kama ni kodi za watanzania zinatokaje kistail hiyo ? Viongozi wa nchi za Africa wana matatizo yanayofanana
 
... Safi! Hawa vijana/watoto wanastahili kuchangiwa baada ya kuwa mabingwa wa CECAFA 2023 under 15.

Uzi huu unafaa kwenda jukwaa la michezo.
 
Serikali yaizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50
 
Karume boy siyo jambo la muungano, sherehe zimefanyika ikulu ya muungano na wamezawadia pesa kutoka kwa walipa kodi wa tanganyika
 
Nyinyi ndio mnaopitisha bungeni kupitia kwa wabunge wenu.
Waambieni wasipitishe uone kama zitatumiwa ovyo.
 
Nyinyi ndio mnaopitisha bungeni kupitia kwa wabunge wenu.
Waambieni wasipitishe uone kama zitatumiwa ovyo.
Huyo unaesema anatumia hovyo baada ya kupitishiwa na Bunge,yeye hana uchungu na jasho la watanzania? Siyo nyie mnaosema kila siku kuwa anauchungu sana na sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…