Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Ninyi ndo mnayemjua kuwa ni raisi, ila yeye anajua sio raisi kabisa. Wala hana nia yoyote ya kuleta maendeleo
 
Haya mambo ya kutatua changamoto za wananchi mmoja moja ni kazi za wasaidizi wa rais kuanzia ngazi za chini kule mashinani. Mtu kadhulumiwa balozi wa nyumba kumi ashughulike na tatizo hilo mtu apate hake yake. Viongozi wa chini wawe na nguvu za kuamua mambo mazito na waogopwe kama zamani
 
Sasa kwani na huyu anaendeleza huo unaoitwa upumbavu wa kusimama njiani? Alisimama kuongea na nani hapa kama sio hao wananchi ambao hataki kujibu maswali yao hata moja? Au wakuuliza maswali hakuandaliwa?
Hata mgonjwa aliyeathirika na uraibu wa madawa ya kulevya huwezi kumuachisha kwa ghafla. Unaanza kumpa kwamza methadone. Ukifanya kwa ghafla unaweza zua tatizo jipya. Kwa hiyo kupita bila kusimama ingekuwa ni jambo la ghafla na lingeleta shida
 
Mbona Majaliwa aliwasikiliza Wafanyabiashara Kariakoo mmoja baada ya mwingine,kwani alikufa?
Ile ilikuwa special case na Kariakoo ni ki TRA ni kubwa kuliko mikoa 5 ya Tanzania ikowekwa pamoja
 
Yule mhuni alikuwa comedian pro max. Alikuwa anaandaa wauliza maswali na anakuwa ameandaa script ya namna ya kutatua "changamoto" fake anayopewa.

Kuthibitisha hili, angalia majibu ya mhuni huyu alipokuwa anakutana na changamoto halisi. Mfano pale Mbezi stendi kuna mwananchi alilalamikia gharama kubwa ya kulipia choo (sh 500/=). Mhuni alimfurishia matusi mwananchi yule mbele ya kamera huku TV zote zikiwa live. Alisema "kama unaona kubwa beba mavi yako peleka nyumbani".

Kuna pahala pengine (sikumbuki ni wapi). Aliamuru mwananchi awekwe ndani baada ya jiwe kutwangwa na changamoto ngumu.

Jiwe alikuwa siyo mtu. Afe tena huko aliko.
Kwanini usife wewe na mama yako? Mbwa mkubwa. Wewe shoga kafirw huko naona umezoea sana kufirw!
 
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Tusimlaumu hana uwezo kukabili changamoto za papo kwa papo. Hawezi challenge za hivyo ataishia kuvurunda. Lingine inawezekana kabisa sio mtu wa watu. Hali ya kuwasikiliza watu barabarani kwa mtu wa watu inampa kiongozi picha na pia inaweza kusaidia sana kujua hali ya utendaji ya viongozi waliyoko chini yake.
 
Angeweza kusikiliza mmoja au wawili yaani huyu Maza ni mvivu kinona! Yaani hata shauku hana...
Amefanya vizuri kabisa aachane na micro management kwenda kusikiliza kesi za viwanja wakati kuna chain ya management system ipo wananchi waitumie hiyo inakuwa bora zaidi.
 
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.

Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.

Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.

Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.

Ndo mwanzo wa uchaguzi kuwa mgumu kwake,
 
Tatizo ni wasaidizi wa rais. Inakuwaje hawajutafuta hizo info mapema. Clip kama hizi zitammaliza rais Dkt Samia 2025. Maana kauli ka hiyo inaonesha ukaidi. Jamani hakika Dkt Samia anahujumiwa.

Anahujumiwa?

Hayo maneno kalazimishwa kuyasema?

Muda mchacheeeee…..mambo ni meeeeengi……..Tanzania ni kuuuuubwa

Kazi iendelee
 
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
We akili zako ni za kuvukia bara bara tu.!.

Hivi lini mwananchi aliwahi kuuliza swali la kupigwa na mkewe?

Mtu akiuliza KUHUSU zahanati kutokukamilishwa kwa wakati Hilo linahusu kupigwa na mkewe?

Ficha ujinga wako haraka,
 
Hayati ALIKUWA na uwezo wa kusolvu tatizo hapo kwa hapo.

Siyo wote wanakipaji hicho
 
Ile ilikuwa special case na Kariakoo ni ki TRA ni kubwa kuliko mikoa 5 ya Tanzania ikowekwa pamoja
Kazi mnayo...maana vumbi kama la Kibondo, na tope kama la Dniper. Sabuni ubebe tani moja vinginevyo halitakati!
 
Raisi yupo sahihi kabisa ,haiwezekani kila kitu raisi wakati serikali imeajiri watu kibao serikalini mpaka wafanya kazi hewa.
Hili ni suala la uwajibikaji na tamko la Raisi ni kama Onyo kwa wahusika kuweni wadadavuzi wa kauli msiwe mnachukulia ize ize tu,
Tatizo a kufundishwa na walimu wa upe ,shee profesa haingii na chaki darasani
 
Yani raisi unatoka ofisini kwako ikuru unaenda kuongea na wananchi wako alafu unakataa kusikiliza kelo za hao wananchi inasikitisha
 
Yani raisi unatoka ofisini kwako ikuru unaenda kuongea na wananchi wako alafu unakataa kusikiliza kelo za hao wananchi inasikitisha
 
Back
Top Bottom