GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hata asingepata shida ila kaamua kujichanganya na wahuni mwache avune alichopanda.
 
Anzisha jukwaa lako ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
Baada ya kujua jishangazi na ccm hawakubaliki, ndio unakuja kutoa ushauri wa kuburuza wasiomtaka. Hakuna jambo gumu kama kulazimisha kupendwa. Kura za NIDA umeona haziwezi kuwapa raha.
 
Kwakweli afanye hivyo kuanzia the first day she steps in. Atakuja kutushukuru baadae!
 
Anzisha jukwaa lako ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
Mfagia choo wa ofisi za ccm , wenye ccm wapo hawafiki hata 20, wewe na wenzako ni wafagia choo...nyinyi ndio mnajazwa kwenye malori kama mikaaa mnaenda kubwagwa kwenye mikutano kama makuku...
 
Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo kama Mjinga na usiyejitambua.
Kumbe uhuru wetu unatolewa na rais? Mie nilikuwa sijui, nikawa najidanganya kuwa uhuru wetu umetolewa na katiba na sheria. Mkuu, asante sana kwa kunijuza !!
 
🚮
 
Kumbe uhuru wetu unatolewa na rais? Mie nilikuwa sijui, nikawa najidanganya kuwa uhuru wetu umetolewa na katiba na sheria. Mkuu, asante sana kwa kunijuza !!
Mkuu hata sio kwamba haufahamu kuhusu Uhuru kuwa ni haki ya kikatiba na sheria ila kuna watu wachache wameshampa nafasi kubwa mtu mmoja kuwa yupo juu ya Katiba na Sheria!
 
Huu nao n ugonjwa wa akili,uhuru wa mtanzania hauhitaji mjadala Wala hautolewi na raisi km fadhila,,,hyo n natural justice,,,,,lkn Kila utawala utapita ht akisema tuwe tunakula mlo mmoja kwa siku ww na yy white tutapita hii dunia
 
We chokoo kabisa, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wa huyo mamako!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…