GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nipo sehemu moja huku musoma panaitwa makojo wanakupa salamu sanaa yani sanaaa L. Mwashamba. Kiukweli kabisa unakubalika na umma wa Watanzania.
 
Mkuu hata sio kwamba haufahamu kuhusu Uhuru kuwa ni haki ya kikatiba na sheria ila kuna watu wachache wameshampa nafasi kubwa mtu mmoja kuwa yupo juu ya Katiba na Sheria!
Mkuu, unajua wakati mwingine inabidi tutumie sarcasm ili kuwasilisha ujumbe kwa mleta mada kuwa alichoandika ni fyongo. Anaposema rais "asitupe uhuru", maana yake ni nini? Simply ana maanisha uhuru wetu uko mikononi mwa rais, anaweza kuamua kutupatia, au kutotupatia. Hiyo kwa ufupi inamanisha kuwa rais wetu ni dikiteta!
Ni vizuri watu tukawa tunafikiria nje ya box kabla ya kuandika vitu na kuviweka hadharani.
 
Hakuna uhuru usio na mipaka
Mipaka haiwekwi na rais bwashee. Mipaka inawekwa na Katiba na Sheria. Rais anayejichukulia mamlaka ya kuweka mipaka kwa wananchi wake ni dikiteta. Siamini kama nia yako ni kumfanya Rais Samia awe dikiteta.
 
Rais ambaye hakuchaguliwa na Watanzania hawezi kuwaheshimu kabisa hiyo mbona ni kawaida kwa madikteta wote.
 
Jf mmepoteza mvuto siku izi.mnaruhusu hata ng'ombe kupost samadi humu.🚮🚮🚮🚮
Mwambie ukweli huyu chawa mpuuzi! Huyu anaesomewa madudu ya ufisadi na CAG Kila wizara anaishia kusema st...d basi!
 
Rais ni mfanyakazi wa umma tena amepewa ajira! Ishu kubwa ambayo inatesa watu ni kumuona kama ni Omniscient, Omnipotent, Omnigenius na mwenye nguvu kuzidi watanganyika wote. Ila ukweli sio hivyo! Lucas Mwashambwa anapaswa kupelekwa hospitali inaonekana kuna vitu havipo sawa kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…