Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

Niseme nilikuwa namtetea huyu Samia ila nimekuja kumchukia sana sahivi. Huyu mama ni mabguzi kuliko Magu, sahivi anazindua skuli za mabilioni Zanzibar, pesa za Tanganyika zinaliwa bila huruma. huku Tanganyika shule za sekondari madarasa hayajapigwa hata plasta. Zanzaibar skuli moja inajengwa kwa Tshs 6,100,000,000/. Maghorofa yanajengwa km uyoga. Zanzibar imepata wapi hela yote kipindi hiki Rais wa jamhuri akiwa Mzanzibari?

watanganyika Samia ndiyo mwisho wa muungano, huyu mama hana hata aibu wala hofu anaijenga Zanzibar kwa pesa za watangabyika, mpaka 2030 sijui nchi itakuwa wapi. Huyu alitakiwa apinduliwe akiwa kule kwao Zanzibar asirudi kwetu. Ukweli ni kwamba Samia yupo kwa ajili ya Zanzibar. Tanganyika haikuwa na shughuli yoyote hakutaka hata sherehe ya uhuru wa Tanganyika, ila Zanzibar ni uzinduzi wa miradi na sherehe kubwa Zanzibar. Tutatokaje hapa tulipo wajameni tumeshaliwa. Huyu mama ni zaidi ya kaburu. huku Tanganyika hakuna mradi wowote ila Zanzibar kuna mamia ya miradi inazinduliwa kila siku. Huku kwetu miradi imesimama karibu yote. Barabara zilizosainiwa Juni 2023 mpaka leo hakuna mradi umeanza. wakati wa Mwinyi lilijitokeza kundi la wabunge 55 (G55) kuidai Tanganyika, wakati ule tulikuwa na Nyerere sahivi nani anamzuia huyu mama, amemweka mnyiramba wizara ya fedha, pesa zinahamishwa Zanzibar bila ht huruma. Maskini Tanganyika.
Je, Ukiambiwa umchague Mh. Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, utakubali? Au utaona ni bora utangulize maslahi ya chama chako cha Mapinduzi, badala ya nchi yako ya Tanganyika?

Maana hili ndilo tatizo la wananchi mlio wengi! Huwa mnaangalia maslahi yenu binafsi na yale ya chama chenu tu! Badala ya kuandalia kwanza maslahi ya nchi. Hamjawahi kuwa wazalendo nyinyi kwa nchi yenu.

Na ndiyo mapaka leo nchi inaliwa na wachache, huku wananchi walio wenvi wakitaabika kwa ujinga, umasikini, na magonjwa.
 
Niseme nilikuwa namtetea huyu Samia ila nimekuja kumchukia sana sahivi. Huyu mama ni mabguzi kuliko Magu, sahivi anazindua skuli za mabilioni Zanzibar, pesa za Tanganyika zinaliwa bila huruma. huku Tanganyika shule za sekondari madarasa hayajapigwa hata plasta. Zanzaibar skuli moja inajengwa kwa Tshs 6,100,000,000/. Maghorofa yanajengwa km uyoga. Zanzibar imepata wapi hela yote kipindi hiki Rais wa jamhuri akiwa Mzanzibari?

watanganyika Samia ndiyo mwisho wa muungano, huyu mama hana hata aibu wala hofu anaijenga Zanzibar kwa pesa za watangabyika, mpaka 2030 sijui nchi itakuwa wapi. Huyu alitakiwa apinduliwe akiwa kule kwao Zanzibar asirudi kwetu. Ukweli ni kwamba Samia yupo kwa ajili ya Zanzibar. Tanganyika haikuwa na shughuli yoyote hakutaka hata sherehe ya uhuru wa Tanganyika, ila Zanzibar ni uzinduzi wa miradi na sherehe kubwa Zanzibar. Tutatokaje hapa tulipo wajameni tumeshaliwa. Huyu mama ni zaidi ya kaburu. huku Tanganyika hakuna mradi wowote ila Zanzibar kuna mamia ya miradi inazinduliwa kila siku. Huku kwetu miradi imesimama karibu yote. Barabara zilizosainiwa Juni 2023 mpaka leo hakuna mradi umeanza. wakati wa Mwinyi lilijitokeza kundi la wabunge 55 (G55) kuidai Tanganyika, wakati ule tulikuwa na Nyerere sahivi nani anamzuia huyu mama, amemweka mnyiramba wizara ya fedha, pesa zinahamishwa Zanzibar bila ht huruma. Maskini Tanganyika.
Mtakoma na likatiba lenu linaloitwa kijitabu na mama yenu. Mtamfanya nini. Wakati mmempa mamlaka sawa na Mungu. Hadi 2030 mtaachiwa madeni ambayo Tanganyika hamtaweza hamtamudu kuyalipa hata kwa miaka mia Labda muuzwe na ninyi.
 
Kama siyo rais ya zanzibar haya tuambie ni Rais wa wapi?
 
Roving journalist hawezi kuandika mada yenye heading itakayoweza kuharibu cheo chake. Marupurupu. Masuti kabatini. Vx lc 200.

Mods mnamchonganisha na bosi wake
 
Back
Top Bottom