Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

Je, Ukiambiwa umchague Mh. Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, utakubali? Au utaona ni bora utangulize maslahi ya chama chako cha Mapinduzi, badala ya nchi yako ya Tanganyika?

Maana hili ndilo tatizo la wananchi mlio wengi! Huwa mnaangalia maslahi yenu binafsi na yale ya chama chenu tu! Badala ya kuandalia kwanza maslahi ya nchi. Hamjawahi kuwa wazalendo nyinyi kwa nchi yenu.

Na ndiyo mapaka leo nchi inaliwa na wachache, huku wananchi walio wenvi wakitaabika kwa ujinga, umasikini, na magonjwa.
 
Mtakoma na likatiba lenu linaloitwa kijitabu na mama yenu. Mtamfanya nini. Wakati mmempa mamlaka sawa na Mungu. Hadi 2030 mtaachiwa madeni ambayo Tanganyika hamtaweza hamtamudu kuyalipa hata kwa miaka mia Labda muuzwe na ninyi.
 
Kama siyo rais ya zanzibar haya tuambie ni Rais wa wapi?
 
Roving journalist hawezi kuandika mada yenye heading itakayoweza kuharibu cheo chake. Marupurupu. Masuti kabatini. Vx lc 200.

Mods mnamchonganisha na bosi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…