Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia watanzania.unaona muda wote mawazo,akili,fikira na kiu yake ni kuwatumikia na kuwawazia watanzania.
Unaona Mungu akiendelea kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.yupo imara kila muda na mwenye nguvu Utafikiri kijana wa miaka 30.Huyu Mama na Rais ni Bahati sana kuwa naye na kuongozwa naye.yupo imara kiakili na kimwili.
Embu angalia Alivyoingia na kuelekea katika kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ikulu ndogo ya Tunguu visiwani Zanzibar hii leo.Hatua zake na mwendo wake na hata muonekano wake ni wakuleta matumaini kwa watanzania.Ni wakuleta tabasamu katika maisha ya watanzania.unaona wazi kwa jicho la tatu kuwa Huyu ni kiongozi tuliyemhitaji watanzania kutuongoza
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.