Rais Samia akiingia katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Rais Samia akiingia katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Mwaka kesho atakuwa na kampeni kuzunguka nchi nzima kuomba kura kwa watanzania wamchague kuwaongoza, tunamtakia afya njema na nguvu tele kuweza kufanya kampeni vema
 
Acha kushangilia ujinga, gharama za kuwapeleka mawaziri na wasaidizi wao ni zaidi ya 500M, hapo ni sawa na madawati mangapi?
Unawaza madawati tu ndio akili yako ilipoishia .ndio maana huwa nasema wewe ni toto tu. ndio maana unafikiri wote ni watoto wenzio wakujadili masuala unayojadili na wanafunzi wenzako
 
Back
Top Bottom