Rais Samia akiingia katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Halipwi mshahara?
Mshahara wake atalipwa na Mungu Mwenyewe maana amejitoa na kujitolea muda wake wote kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.wewe muda wote upo hapa unapiga porojo zako wakati Mama yupo kazini muda wote.
 
Anawatumikia watanzania kwa moyo wa upendo, unyenyekevu, uzalendo na ukarimu wa hali ya juu sana
Kweli kabisa, ndio maana anaowatumikia wakitaka kuwakilisha ujumbe wao kwa maandamano ya amani anatoa maagizo kwa IGP awaandalie maji ya kunywa na soda baridi huko mitaani kwa sababu Dar pana joto sana wasije wakazimia kwa kiu na sunstroke wakati wa kuandamana
 
Acheni visingizio vyenu dhaifu .
 
Mshahara wake atalipwa na Mungu Mwenyewe maana amejitoa na kujitolea muda wake wote kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.wewe muda wote upo hapa unapiga porojo zako wakati Mama yupo kazini muda wote.
Hana uwezo kujitolea, kibaya zaidi anagawa mali zetu kwa waarabu.
 
Kama alianza kuwa Chawa wangu Mimi Mwalimu wake nikiwa namfundisha Chuoni Ilala ili nimpe Marks za bure unategemea nini jipya labda kutoka Kwake Mkuu? Tena najilaumu kweli kweli kwanini alivyokuwa akijipendekeza vile Kwangu 'sikumpididi' kabisa ili aniheshimu hadi sasa.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Serekali inakaa popote kama Mahakama vile zinavyo hama kumfuata mteja wao pale inapo bidi!!
 
Back
Top Bottom