Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #161
Mshahara wake atalipwa na Mungu Mwenyewe maana amejitoa na kujitolea muda wake wote kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.wewe muda wote upo hapa unapiga porojo zako wakati Mama yupo kazini muda wote.Halipwi mshahara?
Kweli kabisa, ndio maana anaowatumikia wakitaka kuwakilisha ujumbe wao kwa maandamano ya amani anatoa maagizo kwa IGP awaandalie maji ya kunywa na soda baridi huko mitaani kwa sababu Dar pana joto sana wasije wakazimia kwa kiu na sunstroke wakati wa kuandamanaAnawatumikia watanzania kwa moyo wa upendo, unyenyekevu, uzalendo na ukarimu wa hali ya juu sana
Acheni visingizio vyenu dhaifu .Kweli kabisa, ndio maana anaowatumikia wakitaka kuwakilisha ujumbe wao kwa maandamano ya amani anatoa maagizo kwa IGP awaandalie maji ya kunywa na soda baridi huko mitaani kwa sababu Dar pana joto sana wasije wakazimia kwa kiu na sunstroke wakati wa kuandamana
Hana uwezo kujitolea, kibaya zaidi anagawa mali zetu kwa waarabu.Mshahara wake atalipwa na Mungu Mwenyewe maana amejitoa na kujitolea muda wake wote kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.wewe muda wote upo hapa unapiga porojo zako wakati Mama yupo kazini muda wote.
Acha kuropoka ovyo vitu vya uongo na uzushi.Hana uwezo kujitolea, kibaya zaidi anagawa mali zetu kwa waarabu.
Narudia tena, ukiachia mbali kuwa analipwa mshahara mnono, lakini bado anapata 10% kwa kuuza mali za watanyika kwa waarabu. Hutaki jinyonge.Acha kuropoka ovyo vitu vya uongo na uzushi.
Acha ujinga wako wewe.Narudia tena, ukiachia mbali kuwa analipwa mshahara mnono, lakini bado anapata 10% kwa kuuza mali za watanyika kwa waarabu. Hutaki jinyonge.
Vumilia ukweli ww mfuasi wa chama cha majizi.Acha ujinga wako wewe.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣Kama alianza kuwa Chawa wangu Mimi Mwalimu wake nikiwa namfundisha Chuoni Ilala ili nimpe Marks za bure unategemea nini jipya labda kutoka Kwake Mkuu? Tena najilaumu kweli kweli kwanini alivyokuwa akijipendekeza vile Kwangu 'sikumpididi' kabisa ili aniheshimu hadi sasa.
Hakuna ukweli wowote hapoVumilia ukweli ww mfuasi wa chama cha majizi.
Mkuu nasikia una kesi ya utapeli hapo vwawa na mlowo?Wewe ndiye una matatizo
Utapeli wa nini na nimemtapeli nani.Mkuu nasikia una kesi ya utapeli hapo vwawa na mlowo?
Utapeli wa viwanjaUtapeli wa nini na nimemtapeli nani.
Viwanja vya naniUtapeli wa viwanja
Serekali inakaa popote pale mradi kuna amani!!We huna akili, why kikao kisifanyikie Dodoma? we ni mjinga sn hata kikifanyikia chooni lazima utashangilia.
Serekali inakaa popote pale mradi kuna amani!!We huna akili, why kikao kisifanyikie Dodoma? we ni mjinga sn hata kikifanyikia chooni lazima utashangilia.
Huyo uliyemjibu huwa hajitambui na hayupo sawa kichwani na wala hawezi kukuelewa hata ungemfundisha vipi maana ni 0 kichwani mwake.Serekali inakaa popote pale mradi kuna amani!!
Na yeye itamfyekelea mbali tuzidishe dua tu.
Wewe ni laana Duniani na mbinguni.Na yeye itamfyekelea mbali tuzidishe dua tu.