Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.