Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia tunampenda sana sana sana. Wasiompenda ni nyie wachache wenye matatizo yenu ya kijinsia......watanzania hata hatuwafikirii, tumewapuuza tu.Kweli kabisa mkuu SAMIA ni transitional president, na pia naweza kusema ni ACCIDENTAL president, hakukubali Demokrasia Kwa sababu alijua hatapita, anajua hakubaliki, hapendwi, sema basi kaamua kukaza fuvu
Usipate shida na kuhatarisha moyo wako kuathiriwa na maradhi, dawa ni kugombea kupitia chama cha upinzani ili umzuie asijibakishe madarakani.Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
mujibu wa Ibara.... ya CHADOMOKwanza sisi watu wa hesabu tunasesa
Makamu wa Rais= Rais
Ukomo wa makamo = Ukomo wa Rais
Hivyo
Umakamo+Urais= Ukomo wa Urais
Maana yake Samia kawa makamo Kwa Miaka 6, na Urais Kwa Miaka 4. Hivyo hastaili Tena kuzidi miaka 10 Kwa cheo Cha Urais na umakamu aliotumikia
N asipokuwa rais October 2025 ni Mungu atakuwa amepanga pia, mkubali na hilo pia.Bado tu mnaweweseka nyie wafiwa.mwaka wa nne sasa bado hamuamini kuwa samia ni rais na yule bwana hatorudi?...kila kitu anapanga Mungu mazee
Unampenda wewe na mumeo!???Samia tunampenda sana sana sana. Wasiompenda ni nyie wachache wenye matatizo yenu ya kijinsia......watanzania hata hatuwafikirii, tumewapuuza tu.
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Mkuu nilichoongea ni fact tupuSamia tunampenda sana sana sana. Wasiompenda ni nyie wachache wenye matatizo yenu ya kijinsia......watanzania hata hatuwafikirii, tumewapuuza tu.
Sijaelewa ulitaka kumaanisha nini labda!!???Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Dah, mtoto wa kike unatukana utafikiri haujakeketwa!! Nyumbu mmeshikwa pabaya na mama Hadi aibu. Kubalini matokeo, huwezi kupambana na mpango wa Mungu wapumbavu nyie. Samia ameshaandikiwa basi itaendelea kuwa hivyo. Nyie wangese mujarabu wachache hamuwezi kuharibu maandiko hata kwa nukta......malafa wakubwa nyie.Unampenda wewe na mumeo!???
Mumeo kakupa "P.A" ya mambo yake!!??
🤣🤣🤣🤣🤣Sijaelewa ulitaka kumaanisha nini labda!!???
Siju hata kama anaweza kukuelewa achilia mbali mambo unayosema kuwa juu ya uwezo wake. kiduchu mbali na tamaa ya madaraka na rongorongo za wapambe waliomzunguka na kumzuga.Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake Bora zaidi , lakini yeye anapendekezwa Kwa utashi wa HAYATI MAGUFULI ( hata hili tu la kupendekezwa na HAYATI MAGUFULI , halikumfaa Rais Samia kua muumini wake?) anakua makamo katika kampeni ambazo jina la HAYATI MAGUFULI , NDIO LIKAKIBEBA CHAMA.
Rais MAGUFULI anafariki, na bila kutarajia Makamo Samia anakua Rais Samia.
Unaweza kujiuliza, kama Rais MAGUFULI asingefariki akaenda mpaka 2025 hii Leo, je Makamo wa Rais Samia, angechukua Fomu kugombea Urais ??.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MTU anaweza kusema hizo ni scenario mbili tofauti , alaaa !! Sasa kama ni tofauti, kwanini AJITANGAZE KUA MGOMBEA PEKEE?. Kwanini asiruhusu Demokrasia ? Watu wachukue Fomu, wachujwe, majina yapatikane, Mkutano ukaamue ??
Sasa Ikiwa atalifahamu neno hilo ya kua, Umakamo na Urais wake uliruhusiwa Kwa kipindi fulani Cha Mpito, WALA ASIHANGAIKE KUGOMBEA, HATA KAMA URAIS NI MTAMU.
Ajiulize tu kama angekua wa kuchukua Fomu kugombea, na wengineo pia wakachukua Fomu , angetoboa??.
Kwakua asingetoboa, basi aamini kua Urais wake uliamuliwa kua wa upendeleo katika kipindi Fulani, lakini SIO WA YEYE KUGOMBEA.
Shida iliyopo ni kuzungukwa na Machawa wanaokosa maono ya kiroho, na ubinadamu wake kua sasa Urais ni mtamu.
Rais asichukue advantage ya Uchaguzi kumkuta tayari ana Urais wa Kudra za mwenyezi Mungu, ikiwa anaamini katika Ubora wake basi alipaswa Kuruhusu ashindanishwe, haiwezekan Rais ambaye hakuwahi kugombea, Kawa Rais kwa sababu ya Kudra za mwenyezi Mungu, ufikie uchaguzi atumie hiyo Fursa kujibakisha Madarakani !!.
Hata Umakamo ni kudra ya Mungu, hakuna kinachokuwa bila utashi Wa Mungu! Na huo utais aliupata kwa utashi Mungu na hiyo awamu ijayo kama tutafika ataupata kwa utashi wa Mungu wala sio kwa utashi wako wa kumkataa.Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.