Pre GE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana namm kua "Umakamo/Urais wake ulichaguliwa Kwa mpito tu!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hekima ipi ya kimbingu?
Amewekwa na Mfumo wa wenye chama!
 
Kweli kabisa mkuu SAMIA ni transitional president, na pia naweza kusema ni ACCIDENTAL president, hakukubali Demokrasia Kwa sababu alijua hatapita, anajua hakubaliki, hapendwi, sema basi kaamua kukaza fuvu
Samia tunampenda sana sana sana. Wasiompenda ni nyie wachache wenye matatizo yenu ya kijinsia......watanzania hata hatuwafikirii, tumewapuuza tu.
 
Usipate shida na kuhatarisha moyo wako kuathiriwa na maradhi, dawa ni kugombea kupitia chama cha upinzani ili umzuie asijibakishe madarakani.
 
Kwa
mujibu wa Ibara.... ya CHADOMO
 
Samia tunampenda sana sana sana. Wasiompenda ni nyie wachache wenye matatizo yenu ya kijinsia......watanzania hata hatuwafikirii, tumewapuuza tu.
Unampenda wewe na mumeo!???
Mumeo kakupa "P.A" ya mambo yake!!??
 
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
 
Na Mungu amefanya makusudi awe yeye ili tuone rangi halisi ya utawala wa mwanamke Tanzania.
 
Ni ngekewa. Jiwe hakuwaza kwamba kuna kufa. 😁
 
Sijaelewa ulitaka kumaanisha nini labda!!???
 
Mama ana sifa na ufanisi na uzalendo kuendelea kushika hatamu hata baada ya 2035 Mungu akimpa afya.
 
Unampenda wewe na mumeo!???
Mumeo kakupa "P.A" ya mambo yake!!??
Dah, mtoto wa kike unatukana utafikiri haujakeketwa!! Nyumbu mmeshikwa pabaya na mama Hadi aibu. Kubalini matokeo, huwezi kupambana na mpango wa Mungu wapumbavu nyie. Samia ameshaandikiwa basi itaendelea kuwa hivyo. Nyie wangese mujarabu wachache hamuwezi kuharibu maandiko hata kwa nukta......malafa wakubwa nyie.
 
Siju hata kama anaweza kukuelewa achilia mbali mambo unayosema kuwa juu ya uwezo wake. kiduchu mbali na tamaa ya madaraka na rongorongo za wapambe waliomzunguka na kumzuga.
 
Hata Umakamo ni kudra ya Mungu, hakuna kinachokuwa bila utashi Wa Mungu! Na huo utais aliupata kwa utashi Mungu na hiyo awamu ijayo kama tutafika ataupata kwa utashi wa Mungu wala sio kwa utashi wako wa kumkataa.
 
Walio tuletea hili furushi la mchanga ni kiboko, yaani sijui waliwaza nini hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…