- Thread starter
- #101
Hivi Kinachotakiwa ni Katiba Mpya au Katiba Bora ?
Na kama ni Bora unadhani itakuwa ni ya Warioba na Sio ya Sitta
Ukizingatia aliyekataa Serikali tatu alikuwa Samia huyu huyu aliyewageuka Wanzibar wenzake
Ni nadra kipya kutokuwa bora. Kwamba kitu cha 1977 kulinganisha na cha 2022?
1977 hata Nokia kitochi haikuwapo sembuse simu janja?
Katiba ya 1977 iliundwa na timu ya watu wasiozidi 20 bila kuhusisha maoni ya wananchi dhidi ya katiba ya Warioba?
Labda jiridhishe hapa mkuu:
Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi