- Thread starter
- #81
Nimekupata chief, haki kwangu ndio kipaumbele
Basi kumbe wewe na sisi ni wale wale, tunahitaji sote katiba bora itakayo tuhakikishia sote haki sawa tofauti na iliyopo sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata chief, haki kwangu ndio kipaumbele
Kuchanganya na za kwake haimaanishi kila anachoambiwa akitekeleze.Hakuna asiyejua kuwa urais ni cheo cha juu kabisa. Hata hivyo hawakukosea waliomtambua mdharau mwiba mguu kumuota tende.
Kwamba kila afanyacho ni matokeo ya ushauri wa kina? Hapo si ndipo penye kuchanganya na za kwake?
Kwani kinaponuka watakaoruka kimanga K kama hawakupata kuwapo huwa ni kina nani?
Kwani huyu wa hawa akishauriwa na kina nani?
View attachment 2163776
Akili za kuambiwa hamtaki achanganye na za kwake?
Kuchanganya na za kwake haimaanishi kila anachoambiwa akitekeleze.
Anaona nchi inakwenda kwa katiba hii hii ya zamani, wapiga kelele na wanaharakati wa JF ndio wanauona umuhimu ambao yeye hauoni.Anayemwambia asiridhie la katiba mpya wewe unaona anamtakia mema yapi?
Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo
Tija ipi unadhani ataipata kwenye mashinikizo?
Anaona nchi inakwenda kwa katiba hii hii ya zamani, wapiga kelele na wanaharakati wa JF ndio wanauona umuhimu ambao yeye hauoni.
Anafungua madaraja, viwanja vya ndege vinazidi kuongezeka, barabara nchi nzima ni mwendo wa lami, anafungua uwekezaji unaozungusha mzunguko wa pesa, hizi kauli na madai ya katiba mpya anayafahamu sana ila akilinganisha na majukumu makubwa ya kitaifa anaona kuwa inaweza kusubiri na maisha yakawa yanaendelea kama kawaida.
Siasa zinapoteza muda wa kufanya mambo ya kimaendeleo. Huyu ni rais ambaye kalaumiwa kwa kwenda kuhutubia UN na kuhudhuria mkutano mkubwa Ufaransa. Leo alaumiwe kwa masuala ya katiba wakati pesa zilizompeleka UN na France bado hajazifanyia kazi!?.Si kuwa anaogopa kuuweka urais wake rehani 2025?
Kwani kama kuna watu wanataka katiba bora leo. Kwanini wewe kuwazuia hadi baada ya 2025 ikibidi liwalo liwe?
Siasa zinapoteza muda wa kufanya mambo ya kimaendeleo. Huyu ni rais ambaye kalaumiwa kwa kwenda kuhutubia UN na kuhudhuria mkutano mkubwa Ufaransa. Leo alaumiwe kwa masuala ya katiba wakati pesa zilizompeleka UN na France bado hajazifanyia kazi!?.
Rais anayo majukumu makubwa sana, na mwenye upeo unaotazama masuala mapana ya nchi, ni lazima atambue ugumu wa kazi anayoifanya.
Sisi wengine kazi yetu ni nyepesi sana ni kulaumu na siku zote lawama zinakuja mwisho baada ya kushindikana kutimizwa kwa ahadi za majukwaani.
Kama sijakosea wakuu nimeona kuwa CCM inaenda kufanya karekebisho kwenye katiba yake kwa madai ina mapungufu na vile vile iende na wakati sembuse Katiba ya nchi? isitoshe mwenendo wa sasa ni kama tunarudi kwenye feudal system of governance?
ustaarabu na uungwana.
CCM ina kazi kubwa katika mchakato mzima wa Uchaguzi ujao, hawachaguliki kirahisi hivyo ndio sababu kati ya nyingi kwenda kubadilisha kakikatiba chao leo hizi.
Hatutaki maboresho, au viraka vya kuwapelekea wao CCM kuendelea kuhadaa Wananchi. Tunataka Katiba mpya inayodaiwa na Wananchi wengi.
Braza, Hapo ndipo nachanganyikiwa, Mitano yake ya kwanza kwa mantiki ipi? Please forgive my ignorance, yeye sio muendelezo wa ya Tano? kwa nini iwe ya sita? Je ina maana kuwa kachagulika na hivyo basi anakuwa na mitano mingine au baada ya 2025 ndio mpaka 2035? Ndio Katiba inavyosema?
Braza, Hapo ndipo nachanganyikiwa, Mitano yake ya kwanza mantiki ipi? Please forgive my ignorance, yeye sio muendelezo wa ya Tano? kwa nini iwe ya sita? Je ina maana kuwa kachagulika na hivyo basi anakuwa na mitano mingine au baada ya 2025 ndio mpaka 2035? Ndio Katiba inavyosema?
Tuendelee kuandika kwa hisia humu jukwaani mara nyingi yanaishia humu humu ndani.Si kuwa hakuna rais tokea CCM atakayekubali mchakato wa katiba mpya kwenye mitano yake ya kwanza?
Si kuwa imekuwa hivyo kwa Kikwette, Mwendazake na sasa hata huyu?
Si kuwa yote hii ni kuhofia kuweka urais wao rehani na mengine yote ni visingizio tu?
Si kuwa wembe uliotumika kwa bwana Mengere na kuwa huyu utatoa majibu chanya?
Si kuwa kwa silka ya binadamu wa CCM bila kuyasikia masaa 48 akili huwa hazifanyi kazi?
Tuendelee kuandika kwa hisia humu jukwaani mara nyingi yanaishia humu humu ndani.
Maisha yanaendelea kama kawaida na kazi inaendelea.Kuandika kwa hisia maana yake nini?
Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo
Tunaandika tunayoyaamini kutokea mioyoni.
Habari ndiyo hiyo.
"machinoo"Kwanini brainwashed fata upepo usiwe ni wewe?
Maisha yanaendelea kama kawaida na kazi inaendelea.
"machinoo"
Mengele mtu mdogo sana nchi hii, waliomng'oa ni wadau wenzake wa muziki. Ukitaka kujua rais ni mkubwa kiasi gani muulize Ndugai atakuelezea kwa kirefu ili uondokane na haya mawazo ya kitoto.Na katiba mpya tutaipigania vile vile.
Kwani Stefano Mengele bila yale masaa 48 aliyopewa, angeng'oka?