B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 25, 2022 Thread starter #101 KeyserSoze said: Hivi Kinachotakiwa ni Katiba Mpya au Katiba Bora ? Na kama ni Bora unadhani itakuwa ni ya Warioba na Sio ya Sitta Ukizingatia aliyekataa Serikali tatu alikuwa Samia huyu huyu aliyewageuka Wanzibar wenzake Click to expand... Ni nadra kipya kutokuwa bora. Kwamba kitu cha 1977 kulinganisha na cha 2022? 1977 hata Nokia kitochi haikuwapo sembuse simu janja? Katiba ya 1977 iliundwa na timu ya watu wasiozidi 20 bila kuhusisha maoni ya wananchi dhidi ya katiba ya Warioba? Labda jiridhishe hapa mkuu: Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi
KeyserSoze said: Hivi Kinachotakiwa ni Katiba Mpya au Katiba Bora ? Na kama ni Bora unadhani itakuwa ni ya Warioba na Sio ya Sitta Ukizingatia aliyekataa Serikali tatu alikuwa Samia huyu huyu aliyewageuka Wanzibar wenzake Click to expand... Ni nadra kipya kutokuwa bora. Kwamba kitu cha 1977 kulinganisha na cha 2022? 1977 hata Nokia kitochi haikuwapo sembuse simu janja? Katiba ya 1977 iliundwa na timu ya watu wasiozidi 20 bila kuhusisha maoni ya wananchi dhidi ya katiba ya Warioba? Labda jiridhishe hapa mkuu: Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 25, 2022 Thread starter #102 Phillipo Bukililo said: Mengele mtu mdogo sana nchi hii, waliomng'oa ni wadau wenzake wa muziki. Ukitaka kujua rais ni mkubwa kiasi gani muulize Ndugai atakuelezea kwa kirefu ili uondokane na haya mawazo ya kitoto. Click to expand... Kufanana ni kuwa wadau muhimu wamemkataa. Wadau muhimu tunayo nafasi yetu muhimu kwenye uendeshaji wa nchi hii. Nchi si shamba la bibi. Nchi huendeshwa kwa matakwa ya wananchi.
Phillipo Bukililo said: Mengele mtu mdogo sana nchi hii, waliomng'oa ni wadau wenzake wa muziki. Ukitaka kujua rais ni mkubwa kiasi gani muulize Ndugai atakuelezea kwa kirefu ili uondokane na haya mawazo ya kitoto. Click to expand... Kufanana ni kuwa wadau muhimu wamemkataa. Wadau muhimu tunayo nafasi yetu muhimu kwenye uendeshaji wa nchi hii. Nchi si shamba la bibi. Nchi huendeshwa kwa matakwa ya wananchi.
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Mar 25, 2022 #103 brazaj said: Kufanana ni kuwa wadau muhimu wamemkataa. Wadau muhimu tunayo nafasi yetu muhimu kwenye uendeshaji wa nchi hii. Nchi si shamba la bibi. Nchi huendeshwa kwa matakwa ya wananchi. Click to expand... Unatumia wingi ambao ni wa kinadharia tu. Kazi inaendelea muda huu.
brazaj said: Kufanana ni kuwa wadau muhimu wamemkataa. Wadau muhimu tunayo nafasi yetu muhimu kwenye uendeshaji wa nchi hii. Nchi si shamba la bibi. Nchi huendeshwa kwa matakwa ya wananchi. Click to expand... Unatumia wingi ambao ni wa kinadharia tu. Kazi inaendelea muda huu.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 25, 2022 Thread starter #104 Phillipo Bukililo said: Unatumia wingi ambao ni wa kinadharia tu. Kazi inaendelea muda huu. Click to expand... Tunayo hata haja ya kuandikia mate?
Phillipo Bukililo said: Unatumia wingi ambao ni wa kinadharia tu. Kazi inaendelea muda huu. Click to expand... Tunayo hata haja ya kuandikia mate?