GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.