field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Ni mambo ya utoto kuchagua upande kwenye nchi ya wengine. Atakayeshinda ndiye atakayepongezwa, waafrika mnapenda ugomvi. Sasa itamsaidia nini rais Samia kuchagua rais asiyemhusu? Wakati mwingine mnabidi mkue na muwe na akili japo kidogo. Hiyo michezo ya kitoto isiyo na akili, nashangaa moderator ameweka hiyo thread yako.Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.