Rais Samia, akina Museveni na Kagame 'wameshajipambanua' kuwa wanamkubali Raila Odinga Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Je, wewe upo kwa nani?

Sera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.
Sahihi kabisa
 
Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.

Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.

Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Tanzania ni nchi kubwa, wacha hao watoto wadogo wafanye huo upuuzi
 
Sera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.

Sera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
 
Hayatuhusu, atakaekuwa raisi nasi tutakuwa nae, acha tukimbizane na "Roho tua" yetu.
 
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
Uko sahihi mkuu royal tour imeleta positive impact Arusha Hotel zone full mpaka mwezi wa 12,,,,,,,,
 
Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.

Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.

Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Chifu anasubiri kumpongeza yoyote atakayeshinda
 
Hatuwezi kuwa na madikteta kama role models.

1. Museven ni MZEE ambaye anakaribia kuaga dunia. HANA JIPYA.

2. Kagame ni DIKTETA anayeendesha magenge ya uhalifu East Africa kwa faida ya mabeberu. HAFAI.

Nafikiri tuko juu kuliko hao. Tuna njia yetu iliyo salama zaidi.

Halafu pia uache KIHEREHERE.
Sasa hiyo statement ya mwisho mbona ni kama umekwazika fulani hivi mkuu?[emoji23]
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga.

Ruto is another dictator Arap Moi.
 
Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.

Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.

Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Siku moja nilimsikia Prof Wajackoyah akimtaja Rais Samia.....huenda yupo upande wa Profesa.
 
Wote hao wanaijua siri nani ni Rais wa Kenya.huyo mtoto mlelewa na dikteta Moi hawezi kuwa Rais wa Kenya . Kwa usalama wa maziwa makuu.
 
Sera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.
Du mkuu leo umekula maharage ya wapi? Hebu futa kauli yako hii haraka sana
 
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
Ngoja tuone soon wanatangaza results.
 
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
Wewe kama Mtanzania, utapata nini cha zaidi pale Raila Odinga atapoapishwa kama Rais wa Kenya?
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga.

Ruto is another dictator Arap Moi.
Umeshusha pumba kweli una akili
 
Ulimwengu usioonekana Kwa muono wako ni Utawala unaotawala Kutokea CHINI, GIZANI au KUZIMU.

Weka Akili I hili. Ulimwengu usioonekana upo wa NURU pia, wa Kutoka JUU MBINGUNI.

Siku hizi za mwisho wanakuja Watawala walizopata KIBALI kuongoza Serikali Kutoka JUU Ili kuwalinda watu wa Mungu dhidi ya tawala Kutoka CHINI GIZANI.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom