Rais Samia, akina Museveni na Kagame 'wameshajipambanua' kuwa wanamkubali Raila Odinga Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Je, wewe upo kwa nani?

Rais Samia, akina Museveni na Kagame 'wameshajipambanua' kuwa wanamkubali Raila Odinga Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Je, wewe upo kwa nani?

Unabii wako wa uongo muda sio mrefu itathibitika kuwa wewe ni nabii wa uongo
MKUU

Tusubiri
Hakuna haja ya yote Haya

Hadi Ruto aapishwe kuwa Rais ndio nitaamimit kuwa kawa!!

Mambo haya ni Mengi Sana !!

Tar 13 kwenye siasa ni siku nyingi Sana!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Hatuwezi kuwa na madikteta kama role models.

1. Museven ni MZEE MPUMBAFU ambaye anakaribia kuaga dunia. HANA JIPYA.

2. Kagame ni DIKTETA MNAFIKI anayeendesha magenge ya uhalifu East Africa kwa faida ya mabeberu. HAFAI.

Nafikiri tuko juu kuliko hao. Tuna njia yetu iliyo salama zaidi.

Halafu pia uache KIHEREHERE.
Unapaswa kuwaorodhesha hata madikteka walioko kuzimu.
-Mobutu wa Zabanga
-Idd Amin Dada
-John Pombe Magu
 
MKUU

Tusubiri
Hakuna haja ya yote Haya

Hadi Ruto aapishwe kuwa Rais ndio nitaamimit kuwa kawa!!

Mambo haya ni Mengi Sana !!

Tar 13 kwenye siasa ni siku nyingi Sana!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Ruto Keshaapishwa unakubali kuwa wewe nabii wa uongo? Na mshabikia manabii wa uongo?
 
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
Nabii wa uongo upo? Na unabii wako wa uongo?

Eti nikiwa nimelala ohh Mungu akaja.Unalitaja bure jina la Mungu

Nabii wa uongo wewe na Pepo na shetani mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom