GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Usitowe mfano wa viogozi wa hovyo na Raisi wetu, kwa kweli kwa m7 ujifunze niniHalafu nasikia hata Rais wa Burundi nae ( nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania ) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania ( Watanzania ) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August..
Wenye nchi ni sisiem ndiomaana wanaweza kuwatoa maasai loliondo na kuwapeleka tanga, ushauri wawatoe wazanzibari wote pale stone town ili kuhifadhi mji wa kihistoria kufanikisha nia njema ya rais kuinua utaliiSera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.
Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.
Assume CCM ni mtu kwa hiyo kama akina Kagame na Museveni ni nchi zao basi hapa ni nchi ya CCM.Sera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.
Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.
Kwani wao ndiyo wapiga kura?Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Kwani lazima?Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Ww kweli unajihesabu ni mwenye inchi? Je au na ww una lamba ASALI?Sera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.
Sera za hao MSEVENI na KAGAME hazielewekagi. Maana wao ndio wenye nchi wakati Tanzania wenyenchi ni wananchi.
Kuna tofauti kubwa sana kati Tanzania na hizo zingine. over.Ww kweli unajihesabu ni mwenye inchi? Je au na ww una lamba ASALI?
Hiyo ya kujibebisha ... HAHAHAH! --IENIACHA MDOMO WAZIHalafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Ni Kweli, ndivyo inavyoonekana ktk Ulimwengu wa ROHO,Raila hafiki August 2022
Bro wewe nu nchambuzi mzuri tu but kumbula museveni alikuwa anampinga raila na hajawahi kusema anamuunga mkono raila bali anamtuma mwanae kurekebisha uhusiano wa raila na yeyeHalafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya Raila Odinga na Wiliiam Ruto wanamuunga mkono nani.
Nawapongeza sana Marais wangu Wapendwa Afrika Mashariki akina Mzee Yoweri Museveni na Shujaa Paul Kagame kwa kutopepesa macho wala kutikisa masikio au kuwa Wanafiki kwa hao bila Kuficha au Kuogopa kusema kuwa Wao wanaenda na Mzee Raila Odinga.
Na hata wenye Akili tunajua / tulishajua tu kuwa Raila Odinga anaenda kuwa Kenya's Next Head of State mwezi August.
Sahihi kabisa. Hao jamaa ni matapeli sanaUlitakaje Sasa wasifate mlengo ukijua Kenya ndo mwenyekiti wasasa kiti Cha mwenyekiti afrika mashariki
Wakatae ili mradi wao kivu na goma uchukuliwe hatua Kali lazima waunge juhudi
Uko sahihi .Kama ni Kweli Museveni na Kagame wameunga mkono Odinga wamefanya vibaya mno kuingilia mambo ya ndani ya nchi ingineSera ya Tanzania ni kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.