Rais Samia, akina Museveni na Kagame 'wameshajipambanua' kuwa wanamkubali Raila Odinga Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Je, wewe upo kwa nani?

Ni mambo ya utoto kuchagua upande kwenye nchi ya wengine. Atakayeshinda ndiye atakayepongezwa, waafrika mnapenda ugomvi. Sasa itamsaidia nini rais Samia kuchagua rais asiyemhusu? Wakati mwingine mnabidi mkue na muwe na akili japo kidogo. Hiyo michezo ya kitoto isiyo na akili, nashangaa moderator ameweka hiyo thread yako.
 
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
Unabii wako wa uongo muda sio mrefu itathibitika kuwa wewe ni nabii wa uongo
 
Mungu ibariki Tanzania
 
Nitawashangaa wakenya wakimtangaza raila...ambae mwakani anaenda miaka 80.
Mzee kama huyu hata akili na maamuzi yameshazeheka...
Hata kujieleza kwenye ni shida.
 
Kuna wa juu na wa chini.
Vita Kati ya utawala wa Nuru na giza wahanga ni sisi
 
Achana nae huyo bwege, anadhani kila nchi ina wajinga wajinga wa chadema kama huku Tz
 
Samia sio mpumbavu kama wewe

Nyie wapumbavu Team Mwendazake ndo mlikuwa na huyo babu Odinga
 
Mshindi ambaye katangazwa na tume ya uchaguzi hadi na mahakama ni William Ruto.

Unasemaje sasa? Wewe mpiga filimbi wa Hamelini.?
 
Nabii wa uongo wewe
Ruto ndie Raisi
 
Nabii wa uongo wewe
Ruto ndie Raisi
Hiyo inaitwa kupindua meza, taasisi zote nyeti duniani zilikuwa zinajua anapita odii, bt Mungu ana KAZI na Tanganyika.

Rejea mipaka ya Tanganyika kabla ya WAKOLONI, unaweza ona jinsi Gani watu walivyofurahi kumpata Walomtaka.

Huku kwetu ni kutishana tu, haipo furaha.

Baada ya huyu hapa kwetu anakuja wa aina ya Rutttow.

Tusubiri.
 
Hitimisho limefanyika hapa unaeleza kitu gani hapa?
 
NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITtKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>>
Ndugu Mungu yupi alikutokea??

Kuanzia sasa ukitokewa na mtu ktk Roho, mwapishe umwambie nakuapisha Kwa Jina la Yesu kama ni PEPO dhihirika, utaona uhalisia wake.

Mara nyingi shetani amewahi igiza na kuwatokea watu amevaa mavazi meupe kama Malaika wa Nuru!!!
 

Mmmmm! Ya kweli hayo anaenda kuwa rais wa tano wa Kenya?
 
yaani hili popoma kila linachosema kinaenda op,kitu kinachofanya azidi kudharaulika na kibaya zaidi hataki kukosolewa,yaani ni kabishi kweli haka kazee
 
Amuogope Mungu na technolojia
 
Mambo ya kenya sidhani kama yameisha!!

Ngoja TUONE!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…