NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Sep 6, 2022 #61 YEHODAYA said: Unabii wako wa uongo muda sio mrefu itathibitika kuwa wewe ni nabii wa uongo Click to expand... MKUU Tusubiri Hakuna haja ya yote Haya Hadi Ruto aapishwe kuwa Rais ndio nitaamimit kuwa kawa!! Mambo haya ni Mengi Sana !! Tar 13 kwenye siasa ni siku nyingi Sana! "Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
YEHODAYA said: Unabii wako wa uongo muda sio mrefu itathibitika kuwa wewe ni nabii wa uongo Click to expand... MKUU Tusubiri Hakuna haja ya yote Haya Hadi Ruto aapishwe kuwa Rais ndio nitaamimit kuwa kawa!! Mambo haya ni Mengi Sana !! Tar 13 kwenye siasa ni siku nyingi Sana! "Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Puncler JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 1,386 Reaction score 1,888 Sep 6, 2022 #62 Dokta Uchwara said: Hatuwezi kuwa na madikteta kama role models. 1. Museven ni MZEE MPUMBAFU ambaye anakaribia kuaga dunia. HANA JIPYA. 2. Kagame ni DIKTETA MNAFIKI anayeendesha magenge ya uhalifu East Africa kwa faida ya mabeberu. HAFAI. Nafikiri tuko juu kuliko hao. Tuna njia yetu iliyo salama zaidi. Halafu pia uache KIHEREHERE. Click to expand... Unapaswa kuwaorodhesha hata madikteka walioko kuzimu. -Mobutu wa Zabanga -Idd Amin Dada -John Pombe Magu
Dokta Uchwara said: Hatuwezi kuwa na madikteta kama role models. 1. Museven ni MZEE MPUMBAFU ambaye anakaribia kuaga dunia. HANA JIPYA. 2. Kagame ni DIKTETA MNAFIKI anayeendesha magenge ya uhalifu East Africa kwa faida ya mabeberu. HAFAI. Nafikiri tuko juu kuliko hao. Tuna njia yetu iliyo salama zaidi. Halafu pia uache KIHEREHERE. Click to expand... Unapaswa kuwaorodhesha hata madikteka walioko kuzimu. -Mobutu wa Zabanga -Idd Amin Dada -John Pombe Magu
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Oct 5, 2022 #63 NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: MKUU Tusubiri Hakuna haja ya yote Haya Hadi Ruto aapishwe kuwa Rais ndio nitaamimit kuwa kawa!! Mambo haya ni Mengi Sana !! Tar 13 kwenye siasa ni siku nyingi Sana! "Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"! Click to expand... Ruto Keshaapishwa unakubali kuwa wewe nabii wa uongo? Na mshabikia manabii wa uongo?
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: MKUU Tusubiri Hakuna haja ya yote Haya Hadi Ruto aapishwe kuwa Rais ndio nitaamimit kuwa kawa!! Mambo haya ni Mengi Sana !! Tar 13 kwenye siasa ni siku nyingi Sana! "Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"! Click to expand... Ruto Keshaapishwa unakubali kuwa wewe nabii wa uongo? Na mshabikia manabii wa uongo?
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Oct 5, 2022 #64 TXGA said: NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>> Click to expand... Nabii wa uongo upo? Na unabii wako wa uongo? Eti nikiwa nimelala ohh Mungu akaja.Unalitaja bure jina la Mungu Nabii wa uongo wewe na Pepo na shetani mkubwa wewe
TXGA said: NIKIWA NIMELALA MUNGU AKANITOKEA NAKUMWONA RAILA ODINGA AKIAPISHWA KAMA RAIS WA KENYA BAADA YA UHURU KENYATA , MAONO HAYA NILIYAONA WIKI MBILI ZILIZOPITA , NAWATAKIA WAKENYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI AMINA >>>>>>> Click to expand... Nabii wa uongo upo? Na unabii wako wa uongo? Eti nikiwa nimelala ohh Mungu akaja.Unalitaja bure jina la Mungu Nabii wa uongo wewe na Pepo na shetani mkubwa wewe