Andrew Puma
Member
- Oct 7, 2026
- 80
- 129
Wanasema mdomo wake umepinda, vipi mliomuona laivu ni kweli ama uzushi
Umepinda na nini sasa
Wanasema mdomo wake umepinda, vipi mliomuona laivu ni kweli ama uzushi
Sote tutakufa. Ndiyo jambo la hakika kwenye maisha.Eti wanaharakati wamesema atakufa tu
Ipo siku na wewe utakufa piaIpo siku tu
Gwaj boy ametupigaWanaharakati tutaficha wapi nyuso zetu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Wanaharakati sometimes kama wame wehukwa , kipindi cha uchaguzi waliwahi kuzusha kwa Kikwete baadae akajitokeza na kuongea shombo kuwazodoa .Wanasema mdomo wake umepinda, vipi mliomuona laivu ni kweli ama uzushi
Mungu akatende kulingana na mapenzi yakoBaada ya hii haitaisha wiki moja mambo yatakuwa tayari.
Wanaharakati wengi wa bongo ni LOW IQSamia 6
Wanaharakati 0
😭😭😭😭😭😭😭😭