Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha ujue hkn KAZI ngumu kama kulaumu kila siku na kutafuta negativity, mbaya Zaidi hizo negativity ndio zinakupa chochote kitu, hata za uongo utapewa tuWanaharakati sometimes kama wame wehukwa , kipindi cha uchaguzi waliwahi kuzusha kwa Kikwete baadae akajitokeza na kuongea shombo kuwazodoa .
Ndio maana comrade_kipepe kaamua kuunga mkono juhudi