Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

Hizi mtafute mtafute za Canary trap, Wataminyana sana.
 
Bado misekule itaendelea kumuamini Gwajima .🤣🤣
 
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.

View attachment 3689953
View attachment 3689954
Lengo ni kukuza tu profile yake, maana, bila hiyo title, Hana lipi la, maana? Si, mchumi, si academic aliyefsnya maajabu, hana charisma! A naongea kama Khadija ko pa muimbaji taarab maarufu, hakuna cha maana alichoifanyia nchi hii, si, kwa, misemo, Sera, wala, nini, ni, kubwa, jinga tu
 
Wanaharakati tutaficha wapi nyuso zetu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Tatizo kubwa kwa baadhi ya Wanaharakati ni kushindwa kuwa na ufahamu kuwa CCM
Wanaharakati tutaficha wapi nyuso zetu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Tatizo la Wanaharakati wengi Tanzania ni kutofahamu kuwa Authoritarian regimes zinatengeneza Uncertainty kwa makusudi ili kubaki na control,CCM wanarudia kitu kile kile kila siku lakini bado watu Kama kina Maria wanaingia mtegoni,CCM inafanikiwa kutengeneza hali ya kutoaminiana hata ndani ya Chadema kwa strategy ile ile,Tunaweza tukampuuzia Hilda,Ila Maria kweli ni mtu wa kurudia kosa lile lile kila siku?CCM wanatumia simple strategy ambazo binafsi nadhani ziko effective sana,Propaganda za Makonda zinamfanya Makondo kuonekana hodari,watu wakiacha kuriposti habari za kizushu na kueneza state sponsored lies huo ndio utakuwa Mwanzo wa CCM kushindwa,Uncertainty na manipulation ndio governance strategy yao,wanaitumia kupoozesha dissent na ndio wanafanikiwa kumaintain power,
 
Sina mashaka, lkn kwakuwa ni uhuru wa vyombo vya Habari basi tuwe wadadisi na kupunguza ukurupukaji!
 
Weka maelezo..

AI siyo?

Mikono na vidole ni vya kuunga kuunga..

Lips za mdomo zimepachikwa...

Na miwani upande, imetoboka...
HUg9nHxWQAApsKr.jpg
LINGANISHA MWENYEWE HII HAPA ORGINAL, matako wewe
 
Kambale ilianza hivi hivi kuzushiwa na akaja kuibuka kama kwenye picha la Kihindi. Ulipokuja uzushi wa mwisho, bendera ikawa nusi mlingoti.

Yumkini anaumwa kweli kama binadamu ila wasaidizi wanamwambia jikaze mbele ya cameras ili tupate picha ya kuwakera mitandaoni. Ila kibuyu kitalia tu na Tanzania yote italipuka.
HUg9nHxWQAApsKr.jpg
HUhL_lYbUAA8kdU.jpg
 
Back
Top Bottom