Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

Wanaharakati sometimes kama wame wehukwa , kipindi cha uchaguzi waliwahi kuzusha kwa Kikwete baadae akajitokeza na kuongea shombo kuwazodoa .

Ndio maana comrade_kipepe kaamua kuunga mkono juhudi
Hahahaha ujue hkn KAZI ngumu kama kulaumu kila siku na kutafuta negativity, mbaya Zaidi hizo negativity ndio zinakupa chochote kitu, hata za uongo utapewa tu
 
Kundi la watu wenye ubongo wa mende hao, ni kama vichaa
Mkuu upo sahihi kuwahama lakini sio kuhamia Ccm.

Watu Wanataka mabadiliko then wanaombea yawe miraculously mtu afe na sio wao kuwajibika kubadilika wenyewe kwanza Kisha ndio kuChange the oppressive system.

Kipindi cha kifo cha Magu walishangilia kana kwamba matatizo yote yataisha , sasa wanaona bora ya Magu . Mimi binafsi sioni maana kushangilia Kifo wakati system bado inaendelea ile ile , nitafurahia ikiwa inaleta mabadiliko kwenye mfumo wenyewe
 
Wana haraka
Wawajibike na ushabiki wa simba na yanga na vitu vya kipumbavu wamuachie nani?
 
Aliyemezeshwa tango akavujisha sa hivi atakuwa anaogelea ruvu
 
Reactions: naa
Kabisa mkuu!
Natamani lifanyike jamno la kuondoa hii system nzima,.
Ila hili swala la kushabikia afe kiongozi nimeishia kwa magu maana ni kama Mungu alisema sasa nitawanyoosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
 
Na hilo lizee lenye Tumbo ni nani? Limeshiba kodi zetu mpaka linataka kupasuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…