Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

Tengenezeni picha za kutosha za matukio hewa ili tu ku-justfy uongo wenu..

Wenye akili wanajiuliza...

Hivi huyu mwanamke anawezaje kuwa na guts eti kujitokeza kumpokea balozi halafu ashindwe kujitokeza kwenye hitma ya 40 ya mumewe juzi......!!??? Really....??

Does it make any sense...??

And they think we're foolish just like them....
 
Wana harakati wana hara hara
Uyu maza ametuweza vizuri sana kiufupi hatumuwezi
 
Sasa mbona tunalishwa matango pori na akina Maria Sarungi na Mshabaha kuwa ni mgonjwa Sana.
Na Kesho atakuwa kwenye Mwenge.
 
Kwa taarifa yako hiyo 40 uliyokomaa nayo kama Mama angekuwa katika hiyo hali isingesomwa. Ingesogezwa mbele. Na inapokuwa ikifanyika si lazima mjane ajitokeze watu wamuone. Anaweza tu kutulia zake ndani na wapenda ubuyu wasimuone. Hiyo sio 40 ya kumtoa mtoto mchanga. Hicho unachotamani kiwe hakipo.
 
I wanted to say this, unamuombea mtu afe au aondoke. Una uhakika huyo atokaekuja atakuwa mwema. Unaweza kuta ataekuja ndio atakuwa worse
Na hii ina apply kila pahali, sio kwenye uongozi tu. Hata kazini, mitaani n.k
 
Kambale ilianza hivi hivi kuzushiwa na akaja kuibuka kama kwenye picha la Kihindi. Ulipokuja uzushi wa mwisho, bendera ikawa nusi mlingoti.

Yumkini anaumwa kweli kama binadamu ila wasaidizi wanamwambia jikaze mbele ya cameras ili tupate picha ya kuwakera mitandaoni. Ila kibuyu kitalia tu na Tanzania yote italipuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…