PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Niliwaambia kama hamumpendi Samia mtasombwa na msongo wa mawazo na kufa haraka.
ooohh mara yupo ICU mara kafa.
Komatsu linapiga kazi tu
Pana komatsu au Kirikuu hapo?

Tena Kirikuu kina hadhi ilibidi pawe na Kitoyo hivi vya umeme wanavyoendesha Wasambaa kusombea mizigo.
 
Mama Samia mwenyeweee.
Her majesty'😄😄😄
Mzenji huyo kwao uchawi kama salam ya asubuhi.salamaleko
 
tukio lililoshindikana kufanyika muda ule saa 6, na watu wakaishia kuwa online tu wakiangalia socket za umeme za ikulu bila sauti. Sasa nini hasa kilikuwa kinaendelea huko? Au labda taarifa zilishapokelewa na mimi nikachelewa kuingia?
Hizi ni picha za AI ndugu ama za siku nyingi. Mwenyewe yuko kwenye jokofu tayari
 

Attachments

  • Screenshot_20251211-165455.png
    Screenshot_20251211-165455.png
    100 KB · Views: 14
Angalia sura ilivyomporomoka, hapa ni suala la muda tu nchi itarindima kwa shangwe na vigelele kuondokewa na jini subiani.
Hii ndiyo akili pekee aliyojaliwa nayo FUKARA. Kumuombea njaa aliye nacho 🤣🤣
 
Mnashindwa hata namna ya kutengeneza uwongo.

Amekabidhiwa kupitia ndotoni? Maana kwenye uhalisia leo ni tarehe 11, lakini cha ajabu yeye amekabidhiwa hati kesho tarehe 12!!
Kwa hiyo hata video ni ya uongo? Kwani hakunaga typing error? By the way aliyeripoti siyo msemaji rasmi wala siyo chombo cha habari rasmi. Kwa hiyo huwezi kumjudge saaana!?
 
Sjui kwanini, nadhani Tanzia ya kikwete ntaishangilia kuliko ya samia
 
  • Thanks
Reactions: naa
Pana komatsu au Kirikuu hapo?

Tena Kirikuu kina hadhi ilibidi pawe na Kitoyo hivi vya umeme wanavyoendesha Wasambaa kusombea mizigo.
Ila ndo hivyo kimekufanya juzi unachatia uvunguni Kwa shemeji yako hapo 🤣🤣 ungetoa hicho kinembe na Bango lako, sasa hivi wangekuwa wanafaidi nyenyere 🤣🤣
 
Back
Top Bottom