Hii ni michezo ya kitengo baada ya taarifa kuvuja. Nimeangaliq channels zote hawakurusha zaidi walikuwa na vipindi vingine kabisa. Tbs bila sauti ulisikia wapi? Kitengoooo! Wekeni CD nyingine, hii tunaijua!Niliwaambia kama hamumpendi Samia mtasombwa na msongo wa mawazo na kufa haraka.
ooohh mara yupo ICU mara kafa.
Komatsu linapiga kazi tu
Hapo sasa. Hii itakuwa sio kweli, yakitambo sanaKwamba anapokea Leo kwa niaba ya kesho?
😄😄😄😄😄Samia si ufe wewe Mama kwani ukifa unapata hasara gani!
Kadri mnavyomuua Samia ndiyo kadri Mungu aliye juu anvyo muimarisha. Wewe kenge utaanza kufa wewe ukiwa mdomo wazi na mainzi yakujae mdomoni. NyambaaafAngalia sura ilivyomporomoka, hapa ni suala la muda tu nchi itarindima kwa shangwe na vigelele kuondokewa na jini subiani.
Mkuu nina kuheshimu sana!!Naomba ujibu maswali hayaRais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
I saw this kwenye page ya ikulu nkawa najiulza hii tai albadilisha saangap???
Moja umeichukua Facebook![]()
I saw this kwenye page ya ikulu nkawa najiulza hii tai albadilisha saangap???
Ladba ni balozi mwingine,![]()
I saw this kwenye page ya ikulu nkawa najiulza hii tai albadilisha saangap???
Angalia sura ilivyomporomoka, hapa ni suala la muda tu nchi itarindima kwa shangwe na vigelele kuondokewa na jini subiani
So ikulu mawasiliano wamekosea....walweka picha hizo kwa caption ya mama aktana na balozi wa namibiaMoja umeichukua Facebook
Pili hizo picha mbili tofauti zimeungwa kwa sababu picha ya juu kiti kingine
Na picha ya pili anayosaini kiti kingine.