PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Muda ukifika bado utapata kile ulichostahili usiwaze, Usiumie wala kulalamika Muamini Mungu tu ndiye anayetoa Kwa Kila Mtu.
 
Mbona video mzima haikuwa na sauti na hakuna chombo chochote kingine kilichorusha zaidi ya TBC 1 ?
Bado kuna shida sehemu
 
Niliwaambia kama hamumpendi Samia mtasombwa na msongo wa mawazo na kufa haraka.
ooohh mara yupo ICU mara kafa.
Komatsu linapiga kazi tu
Hii ni michezo ya kitengo baada ya taarifa kuvuja. Nimeangaliq channels zote hawakurusha zaidi walikuwa na vipindi vingine kabisa. Tbs bila sauti ulisikia wapi? Kitengoooo! Wekeni CD nyingine, hii tunaijua!
 
Huyu maza ana maisha magumu sana, afadhali anayebaba magunia kariakoo ana ahueni ana amani katika nafsi - Damu zinaongea na huyu maza usiku na mchana. Damu changa hazitamuacha salama
 
Angalia sura ilivyomporomoka, hapa ni suala la muda tu nchi itarindima kwa shangwe na vigelele kuondokewa na jini subiani.
Kadri mnavyomuua Samia ndiyo kadri Mungu aliye juu anvyo muimarisha. Wewe kenge utaanza kufa wewe ukiwa mdomo wazi na mainzi yakujae mdomoni. Nyambaaaf
 
Screenshot_20251211-200154.png
 
screenshot_20251211-200154-png.3514367


I saw this kwenye page ya ikulu nkawa najiulza hii tai albadilisha saangap???
Moja umeichukua Facebook
Pili hizo picha mbili tofauti zimeungwa kwa sababu picha ya juu kiti kingine
Na picha ya pili anayosaini kiti kingine.
 
Ukiiangalia hii video kwa umakini utaona kuna mambo hayapo sawa mule ndani. Watu wanagongana gongana kama walevi.
 
Yaani nikikumbuka wale waliopigea za vichwa wakati hawakuwa hata kwenye maandamano walikuwa Msikitini wakiswali wakafuatwa na watoto mayatima waliowaacha sijui nani atawalea na akawazika kibabe watoto wao wasiyaone makaburi ya wazazi wao

Angalia sura ilivyomporomoka, hapa ni suala la muda tu nchi itarindima kwa shangwe na vigelele kuondokewa na jini subiani
 
Moja umeichukua Facebook
Pili hizo picha mbili tofauti zimeungwa kwa sababu picha ya juu kiti kingine
Na picha ya pili anayosaini kiti kingine.
So ikulu mawasiliano wamekosea....walweka picha hizo kwa caption ya mama aktana na balozi wa namibia
 
Back
Top Bottom