Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

Ni Lowassa tu ndio aliweza kuitingisha CCM,

Ila kwa Upinzania uliopo CCM itatawala zaidi ya miaka 100

Karibu CCM kama unataka kufanya Siasa za matokeo,
Ndio ukweli japo mchungu.A bunch of opportunists leaders hawawezi kuleta upinzani wenye tija.Kuna gap kubwa sana ya viongozi mahiri upande wa upinzani.Baada ya baadhi yao kupata umaarufu wanaingia CCM.
 
Ulikuwa wapi wakati wa Lyatonga Mrema 1995?

Maalim Seif 1995 na 2015?

Ni Lowassa tu ndio aliweza kuitingisha CCM,

Ila kwa Upinzania uliopo CCM itatawala zaidi ya miaka 100

Karibu CCM kama unataka kufanya Siasa za matokeo,
 
Ni Lowassa tu ndio aliweza kuitingisha CCM,

Ila kwa Upinzania uliopo CCM itatawala zaidi ya miaka 100

Karibu CCM kama unataka kufanya Siasa za matokeo,
Si kweli ujinga ndio bebeo kubwa kwa ccm. Kama watoto wanaosoma shule za kata wataerevuka ujue graph ya ccm kiukubalika itashuka
 
Uchochezi huu mkuu, Tatizo lako kiswahili kinakupa shida,
Hakuna Rais duniani ambae anapaswa kuongea kwa mafumbo labda awe ni Rais mwendawazimu kutokea kuzimu.

Marais wanapaswa kuongea moja kwa moja bila mafumbo ili kila mtu hadi watoto wadogo na watu ambao hawajaenda shule waelewe kauli ya Rais na ndicho alichofanya Samia.

Ninyi ambao mnamtetea Rais baada ya kuhamasisha ufisadi hadharani ndiyo mnalazimisha kuwa Rais aliongea kwa mafumbo ili kumtoa katika mkwamo huo.

Unachofanya wewe ni kupaka ufisadi mafuta kwa kutumia mgongo wa Samia.
 
#CCM CHAMA IMARA
 
I like this vibrant Politics,
 
Upinzani tutawashinda tu wakati wote,

wanatamaa tu wale, wasaka tonge wakubwa Wale,

watanzania msidanganywe kwa hawa
 
Ni Lowassa tu ndio aliweza kuitingisha CCM,

Ila kwa Upinzania uliopo CCM itatawala zaidi ya miaka 100

Karibu CCM kama unataka kufanya Siasa za matokeo,
Uimara wa CCM usitegemee TISS na Polisi, wakiacha kutegemea TISS na Polisi ndo tutaona uimara wao. Kwa Sasa CCM siyo chama Cha siasa, chama Cha siasa hutegemea sanduku la kura. CCM wakitegemea sanduku la kura kesho tu asubuhi hawapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…