Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

Tukiwa wazi Nyerere ni Baba wa kuchakachua matokea ya chaguzi. 1995 CCM haikushinda uchaguzi Zanzibar.
 
Uchaguzi wa 2020 ungekuwa halali na huru, mwendazake asingepata hata 20% ya kura
Siyo kweli. Magufuli aliiba kura lakini alikuwa ana base kubwa. Lisu hata hiyo 20% hakupata kule kanda ya ziwa.
 
Chama ni CCM tu Tanzania
CCM siyo chama Cha siasa Sasa hivi, siasa zimewashinda wanatumia dola kubaki madarakani. Wakisema tunataka serikali za mitaa nchi nzima, dola inatekeleza inasimamia hachaguliwi wa chama kingine. Uchaguzi mkuu CCM wakataka bunge la kijani, dola wanatekeleza mawakala wa upinzani wanazuiliwa. Hii ndio njia pekee ya CCM kubaki, lakini hayo yana mwisho, hata Sudan ilikuwa hivi, machafuko hata jeshi na vifaru vyao hawakuweza, CCM kwa Sasa watajiona vidume kwa kuringia dola, lakini huko mbele watatuletea shida Kama ya Sudan.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mtupu
 
Unajidanganya mkuu wangu, CCM yenye wanachama 12M inategemeaje polisi?
 
Shaka jembe
 
Ndio ukweli japo mchungu.A bunch of opportunists leaders hawawezi kuleta upinzani wenye tija.Kuna gap kubwa sana ya viongozi mahiri upande wa upinzani.Baada ya baadhi yao kupata umaarufu wanaingia CCM.
Daaah
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Nzuri Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…