Rais Samia akiweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022

======
Rais Samia leo ameweka Jiwe la Msingi la katika Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwenye Kitengo cha Wazazi na Watoto Wachanga Meta.

“Tumetoa pesa kujenga jengo hili kwasababu Mimi kama Mama kazi inayofanywa humu ndani (kujifungua) naifahamu vizuri, ni kazi inayohitaji mazingira mazuri sana, unapomtumikia Mungu kuifanya ile kazi aliyotupangia Wanawake (kujifungua), unahitaji faraja”

“Hospitali hii kwenye vile vyumba vya kujifungulia tumeweka na Mwenza wako atakuwepo humo ndani, kwasababu kazi ya kutengeneza kiumbe mliifanya pamoja akushuhudie siku unayotoa kiumbe kile na aone hali unayokuwa nayo siku ile ili wajenge mapenzi upande wetu, akina Mama oyeee”

“Hospital hii itatoka kulaza wagonjwa 150 hadi zaidi ya 300 kwa Kanda nzima”
 
Ziara za huyu mama mbona zimepooza sana?
 
Eti mama, kaninyonyesha huyo?
Huyo ni rais Samia basi, mbona raisi wa kiume hamuwaiti baba, acheni kujipendekeza...
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022

======
Rais Samia leo ameweka Jiwe la Msingi la katika Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwenye Kitengo cha Wazazi na Watoto Wachanga Meta.

“Tumetoa pesa kujenga jengo hili kwasababu Mimi kama Mama kazi inayofanywa humu ndani (kujifungua) naifahamu vizuri, ni kazi inayohitaji mazingira mazuri sana, unapomtumikia Mungu kuifanya ile kazi aliyotupangia Wanawake (kujifungua), unahitaji faraja”

“Hospitali hii kwenye vile vyumba vya kujifungulia tumeweka na Mwenza wako atakuwepo humo ndani, kwasababu kazi ya kutengeneza kiumbe mliifanya pamoja akushuhudie siku unayotoa kiumbe kile na aone hali unayokuwa nayo siku ile ili wajenge mapenzi upande wetu, akina Mama oyeee”

“Hospital hii itatoka kulaza wagonjwa 150 hadi zaidi ya 300 kwa Kanda nzima”

Hongera Rais Samia na wanyaki huko!
 
Hongera Mam Samia.
Utakuwa Rais wa kwanza kukaaa kwa ziara mko wa Mbeya kwa siku nyingi, pengine kuliko rais mwingine yeyote toka uhuru.
Hata Kikwete hakutembelea Mbeya katika vipindi vyake viwili kwa kiasi hiki.
Wana Mbeya tunakushukuru sana, na utapata parachichi, maziwa ya mgando chai ya Rungwe na mchele wa Kyela kama asante.
 
Safiiiii sanaaaaaaaaaaaa mh Rais kwa kufika nyanda za juu kusinii, karibu Sana mkoani songwe pia maana tunakuhitaji huku
 
Nilipata kusoma sehemu ktk maandiko ya mungu kwamba kuna binadamu wanafanya Uovu mpk Ibilisi mwenyewe anaogopa!!
Kabisa mkuu. Huyu jiwe inabidi tuanzishe siku maalum ya kitaifa ya kuchapa viboko kaburi lake
 
Back
Top Bottom