Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

=====

Mradi wa maji wa Kigaboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi.

Rais amekata utepe na kukabidhi magari ya kuchimbia visima na mabwawa na kukabidhi funguo. Magari hayo yatatumika kuchimbia visima vijijini na mijini, pia ameagiza magari hayo yakatunzwe.

Hotuba ya Rais Samia Suhulu Hasan

Maji yachimbwe Mkuranga huko ndo hayana chumvi wala madini yanayoharibu meno na tezi za shingo
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

=====

Mradi wa maji wa Kigaboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi.

Rais amekata utepe na kukabidhi magari ya kuchimbia visima na mabwawa na kukabidhi funguo. Magari hayo yatatumika kuchimbia visima vijijini na mijini, pia ameagiza magari hayo yakatunzwe.

10 November 2022

FAHAMU KAZI NA MAJUKUMU YA WAKALA WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA DCCA

Wakala wa Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) wajipanga kutatua upungufu wa maji Dar es Salaam pia DCCA wapatiwa mitambo na vifaa vipya vya kufanya kazi

Mtendaji mkuu wa Wakala wa Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA), Simon Ngonyani amewaomba wakazi wa Dar es Salaam kuwa na uvumilivu katika kipindi cha mpito cha adha ya uhaba wa maji wakati wakiendelea na ujenzi wa mabwawa sambamba na uchimbaji wa visima katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Source: Azam TV

Vifaa na mitambo ya kazi DCCA

1668155206371.png

TOKA MAKTABA:​

21 March 2017

DDCA : Sisi ni nani​

Source : DCCA

PREAMBLE

The Government of Tanzania under Civil Service Reform Program decided to transform selected organizations, carrying out essential public functions into Executive Agencies. As a result of these government reforms, the Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) was created under the Ministry of Water and Irrigation. DDCA came into existence following the Executive Agencies Act. No. 30 of 1997, and was launched on the 26th of March 1999.

The role of DDCA is to develop sustainable and safe water sources through efficient means and at cost effective price. This objective is in line with the national objective of alleviating poverty and improving the health of people through provision of clean, safe, and adequate water supply to rural and urban population.

Currently only about 58.3% of the rural and 83% of urban population in Tanzania are served with clean water (MOWI, June 2009). As the human population, industries and irrigation schemes increase the demand for water increases too. To arrest this situation, Groundwater Exploration & Exploitation as well as Dam Construction activities are necessary and the Drilling and Dam Construction Agency has to be effective in performing these activities

Kuna namna tusipostuka mapema, tunaenda kupoteana kabisa, kwa maana kila kukicha ni afadhali ya Jana..kwa maana majanga, matatizo, changamoto ni nyingi sana ndani ya hii nchi na changamoto zingine haziripotiwi kwa sababu ya kutokujulikana na vyombo vya habari,changamoto zinazoikumba nchi yetu mpaka sasa, ni kutokana na Aina ya Elimu tuliyonayo mpaka sasa kwenye mitahala yetu viuoni vinepitwa na wakati, pili Sera zetu pia zimepitwa na wakati, nmna ya upatikanaji wa viongozi nchini pia umepitwa na wakati kiasi kwamba inapelekea tunapata viongozi wasiokuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na changamoto.
 
Mradi wa Bwawa la maji Kidunda wilaya ya Morogoro vijijini Tanzania linajengwa na DAWASA mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam .

Bwawa hilo linategemea kutoa huduma ya maji kwa wakaazi wa Dar es Salaam na pia kuzalisha umeme 20 MW pamoja na kuzuia mafuriko, kutumika ktk skimu ya umwagiliaji pia uvuvi wa samaki .

BWAWA LA KIDUNDA KUMALIZA UPUNGUFU WA MAJI KWA WAKAZI WA PWANI NA DAR, WAZIRI ATEMBELEA ENEO LA MRADI MOROGORO​

MTANDA BLOG 10:02 PM KITAIFA , SLIDER

IMG_0165.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe akimzsikiliza mbunge wa jimbo la Kusini, Omari Mgumba wakati wa ziara ya waziri huyo kushoto kutembelea eneo litakalojengwa bwawa la maji la Kidunda mkoani Morogoro. Picha zote na Juma Mtanda.
IMG_0166.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe katikati na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Sudi Mpili kushoto wakizungumza mbunge wa jimbo la Morogoro kusini, Omari Mgumba.
IMG_0196.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe kushoto akimsikiliza Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Mamlaka hiyo, Profesa Felix Mtalo (katikati) wakati wa ziara ya waziri huyo kutembelea eneo litakalojengwa bwawa la maji la Kidunda mkoani Morogoro na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo.
IMG_0231.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe akizungumza jambo katika ziara hiyo.
IMG_0252.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe (Mwenye kofia ngumu) akielekezwa jambo na Profesa Filex Mtalo wakati wa ziara hiyo, wa kwanza kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo
IMG_0270.jpg
IMG_0291.jpg

Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo, Waziri Kamwelwe (Mwenye kofia ngumu), Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven na Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine mara baada ya kumalizika kwa ziara hiyo.
IMG_0294.jpg
Waziri Kamwelwe kulia na Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo kushoto wakiondoka eneo la mto Ruvu baada ya waziri huyo kumaliza kukagua eneo hilo litakalo jengwa tuta kwa ajili ya bwawa la maji Kidunda.
IMG_0300.jpg

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven kulia akizungumza na Waziri Isaack Kamwelwe, kushoto ni Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Omari Mgumba.
IMG_0335.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe kushoto akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara wakati wa ziara hiyo.
IMG_0340.jpg

Meneja Uhusiano Jamii wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Neli Msuya akimweleza jambo Waziri Kamwelwe wakati wakielekea kumuonyesha jiwe lenye alama iliyowekwa mwaka 1967 na wakoloni kama sehemu ya ujenzi wa bwawa hilo.
IMG_0346.jpg
Waziri Kamwelwe wa pili kutoka kushoto akionyeshwa alama ya jiwe (Chini) katika ziara hiyo.
IMG_0355.jpg

Waziri Mhandisi Kamwelwe akifurahia jambo na Mbunge Mgumba muda mfupi baada ya kumaliza kukagua eneo litakalojengwa bwawa la maji la Kidunda.
IMG_0361.jpg

Sehemu ya eneo la Kidunda
IMG_0363.jpg

Mkazi wa Kidunda akisubiria madereva waliokuwa kwenye msafara wa waziri ili kumpata fedha baada ya kutengeneza daraja kutokana na eneo hilo kuwa bovu kutokana na miundombinu ya barabara kuharibika na mvua za masika.

BWAWA LA KIDUNDA MOROGORO MKOMBOZI UPATIKANAJI WA MAJI YA UHAKIKA PWANI, DAR​

Na Juma Mtanda, Morogoro.
Serikali ipo kwenye hatua nzuri ya kuanza ujenzi wa kujenga bwawa la maji la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji mita za ujazo 190 milioni baada kuvunwa kutokana na mvua za masika ili kuwezesha mitambo ya uzalishaji maji ya mto Ruvu isiteteleke katika kipindi cha mwaka.

Akizungumza na viongozi mbalimbali katika eneo la Kidunda mkoani Morogoro jana, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe alisema kuwa bwawa hilo litakuwa na nyingi ikiwemo kuzalisha umeme, upatikanaji wa maji ya uhakiki kwa wakazi wa Dar es Salaam na viwanda baada ya kukamilika ujenzi wake.

Mhandisi Kamwelwe alisema kuwa moja ya faida ya kwanza bwawa hilo litazalisha umeme wa megawati 20 na kutoa faida ya mitambo ya maji ya Ruvu kuendelea kuzalisha maji mwaka mzima bila kuteteleka kutokana na kupungua kwa kina cha maji vipindi vya kiangazi.

“Serikali imekuwa ikisisitiza kuwekeza sekta ya viwanda na vimekuwa vikitumia zaidi maji hivyo lazima tujipange kwa kutengeneza miundombinu bora ya upatikanaji maji ya uhakika lakini na umeme umekuwa sehemu ya matumizi makubwa kwenye viwanda.”alisema Mhandishi Kamwelwe.

Katika ziara hiyo, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Profesa Felix Mtalo alimweleza, Mhandishi Kamwelwe kuwa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa hilo litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita za ujazo milioni 190.

Profesa Mtalo alisema kuwa michakato mbalimbali tayari imefanyika ikiwemo kulipa fidia wananchi wa eneo la mradi na upanuzi wa barabara kutoka eneo la barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam.

“Michakato mingi imefanyika, Mhe Waziri na iliyobakia ni michache michache ambayo inaendelea kufanyiwa kazi ikiwemo kuhamisha makaburi na mambo mengine ya kitalaamu.”alisema Profesa Mtalo.

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo alisema kuwa mpaka sasa mamlaka hiyo tayari imelipa fedha za fidia kiasi cha sh11 bilioni kwa wananachi 2603 wa vijiji viwili ili kupisha mradi huo.

Mhandishi Mwang’ingo alisema kuwa wananchi hao waliolipwa fidia wamegawanyika katika makundi mawili ya vijiji na wale waliopisha barabara.

Alitaja vijiji vilivyopisha mradi huo kwa upande wa bwawa kuwa ni Bwila Chini yenye vitongoji vya Kwatupa, Kwagonzi, Vikonge, Kariakoo, Nyagongo na Mnambala huku kijiji cha Kiurumo kikiwa na vitongoji vya Vidwali, Mikoroshini na Mbuyuni.

Kwa upande wa barabara ni pamoja na Matuli, Kwaba, Chanyumbu, Mkulazi na Diguzi.

“Kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Kidunda kutasaidia mitambo ya maji ya Ruvu kufanya kazi kipindi chote cha mwaka maana, kipindi cha kiangazi mto Ruvu umekuwa ukipungua maji na mitambo yake kuwa katika wakati mgumu wa kufanya kazi.”alisema Mhandishi Mwang’ingo.

Mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda utapoanza utajengwa kwa kipindi cha miaka miatatu hadi kukamilika kwake na bwawa hilo litakuwa na maisha kwa miaka 30 huku likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuachiliwa maji mita za ujazo 24 kwa sekunde na kuwezesha mitambo ya maji ya Ruvu kufanya kazi kipindi chote cha mwaka mzima.

Chinese firm loses appeal in Sh329 billion Kidunda dam deal​

Wednesday, October 26, 2022

Kidunda Dam Project in Morogoro
By Bernard James
Dar es Salaam. Sinohydro Corporation Limited will now execute the Sh329.5 billion tender for construction of Kidunda Dam Project after the Public Procurement Appeals Authority (PPAA) dismissed an appeal that sought to stop award of the work to a successful bidder.

China Gezhouba Group Company Limited had gone to the quasi-judicial body to block the Dar es Salaam Water Supply and Sanitation Authority (Dawasa) from awarding the tender to Sinohydro after claiming unfair disqualification from the tender process.
After hearing the parties, the authority finally has sided with Dawasa that the disqualification of Gezhouba was justified since the company failed to comply with design and construction experience requirements.

Kidunga Dam project located in Morogoro Rural District has for many years failed to kick off over various reasons including procurement setbacks.
The project is designed to improve water supply, control floods, improve irrigation, fishing and other issues.
Dawasa, through Tanzania National Electronic Procurement System (TANePS) invited on February 14, this year, eligible tenderers to participate in a tender for construction of Kidunga Dam Project (Design and Build Contract) where four bids were received by May 20 this year.
The four tenderers including that of Gezhouba Group were subjected to evaluation after which the evaluation committee recommended award of the tender to Sinohydro at a contract price of Sh329.5 billion.
Gezhouba protested the move, claiming the evaluation process was tainted by irregularities including failure by Dawasa to reply to their queries.

The sanitation authority informed the company that its bid failed to sail through on two grounds including failing to comply with design experience as required in the tender documents.
It was alleged that the company submitted design experience of another contractor, China Water Resources Beifang Investigation Design and Research Company Limited who was not in any contractual relationship with it.
The bidder was also disqualified over alleged failure to comply with construction experience requirement.
The bidder was dissatisfied with the reasons for disqualification and on 25 August this year, it applied for administrative review of the decision to Dawasa. The application was dismissed, prompting the company to take its case to the PPAA.
Gezhouba’s case
The company was represented by the firm’s inhouse lawyer Nina Mabiba and advocate Philbert Msuya.
The lawyers submitted that the tender process did not comply with Regulation 4 of Public Procurement Regulations because the respondent (Dawasa) failed to respond to all clarification it sought.
The appellant claimed it submitted to Dawasa six letters seeking clarification on various issues on the tender document in vein.
Although Dawasa claimed to have issued clarification, the Chinese firm insisted the response were not received directly as they were sent through a link which was not accessible to all tenderers.

“The appellant was informed by other tenderers that the respondent has issued clarification, however, there was no direct reply by the respondent on the appellant’s raised queries.
It also complained that it was denied access of viewing the record of tender opening through TANEePS without justifiable reasons. Clause 25.7 of the invitation to tender required the respondent to publish tender opening results on TANePS.
“The respondent has failed to do so,” said the lawyer, adding that they obtained the tender opening results from other tenderers who participated in the tender.
They also question why Dawasa wanted to award the tender to Sinohydro at a tender price of Sh449.8 seen through TANePS instead of tender price of Sh332.4 billion which was relatively lower compared to the successful bidder.
Dawasa alleged through its statement of defence that the change of price was caused by correction of errors and deduction of VAT.
But the appellant disputed Dawasa’s contention of the issue as no matter how many correction of errors were made, the same would not have led to the change of price from Sh449.8 billion to Sh329.4 billion.
Regarding reason for disqualification over failure to meet design experience requirements, the firm contended that it complied with the design experience requirement by attaching to its tender the name of subcontractor China Water Resources Beifang Investigation Design and Research Company Limited who is an expert in dam designing.

Dawasa defence
Dawasa was represented by senior state attorney Neema Mugassa who was assisted by state attorney Ayoub Sanga.
Mr Sanga started by submitting that the respondent regulations which require the procuring entity to respond to all queries raised tenderers within three days and to communicate the same to all tenderers participating in the tender
“If the appellant did not receive clarifications for all the raised queries, it ought to have invoked Section 95 (1) and (4) of the Public Procurement Act and submit a complaint to the respondent within seven working days. To the contrary, the appellant proceeded to participate in the tender and raised the issue of clarification after receipt of the notice of intention to award,” claimed the lawyer.
Regarding the tender opening record, the lawyer submitted that the bid opening results were available on TANePS and any registered tenderer can access the information.
“It is strange that the appellant did not see the tender opening results and kept quiet without making any inquiry. If the opening summary were not public how did the appellant manage to attach the same on its statement of appeal?” He asked.
On the appellant’s submission on the tender price of the proposed successful bidder, the Dawasa admitted the tender opening record indicated that the read out price for the successful proposed tenderer was Sh449.8 billion.

However, the body claimed that the discrepancy in price was due to the fact that the quoted prices were entered manually during the tender opening and it was indicated by mistake that the proposed successful bidder quoted Sh448.8 billion instead of Sh329.4 billion.
Dawasa submitted that Sh59.3 billion was deducted from the price of the successful bidder since water projects are VAT exempted.
“After correction of errors and deduction of VAT the price of the proposed successful tenderer was adjusted to Sh329.4 billion, thus lower than the price quoted by the appellant,” argued the lawyer.

Gezhouba’s appeal fail
In its recent decision, the authority, concurred with Dawasa that the appellant failed to timely exhaust the available remedy after failing to file application for administrative review regarding clarifications on the tender document.
“Since the appellant failed to exhaust the available remedy at the appropriate time, it cannot raise issues relating to clarifications when challenging the reasons for its disqualification issued through the notice of intention to award,” said the authority.
On the appellant’s contention that it was denied access to view the record of tender opening through TANePS, the authority said: “If the appellant faced the said challenge as it contended, it ought to have contacted the relevant authorities for further guidance

The authority also observed that respondent’s act of disqualifying the appellant for submitting the design experience of another firm whose legal status was not disclosed to be proper.
“The appeals authority is of the considered view that even if the contracts executed by MS China Water Resources Beifang Investigation Design and Research Company Limited cold have been accepted, the same would have not complied with design experience requirement, since the said firm executed the contracts as a subcontractor and not as a lead design engineer as required by the tender documents,” said the authority.

the Kidunda dam project, Kimbiji and Mpera boreholes in Kigamboni are also being considered as new sources of water. This is in a bid to boost supply from Ruvu River which currently provides Dar with water.

DAWASA is currently undertaking water projects amounting to US $32.93m, of which upon completion will see over 500,000 residents of Dar es Salaam and Coast regions gain access to water services.

The US $32.4m project will put up nine big water tanks with 3 and 6m litres in water storage capacity. It will also help put up other four centres of pumping water.

Areas lined up for benefiting from the project include Salasala, Bunju, Wazo, Makongo, Changanyikeni, Bagamoyo, Mpiji, Zinga, Kiromo, Kitopeni, Ukuni, Kerege, Buma, Mataya as well as the special Export Processing Zones Authority (EPZA). These are receiving services from Ruvu Chini water station. Others are Mbezi Luisi, Kiluvya, Kibamba, Mbezi, Msakuzi, Makabe, Malamba Mawili and Msigani.
 
I think it would be nice to revisit the merger of DAWASA & DAWASCO. Kila mmoja alikuwa na majukumu maalum kuhisiana na maji. The present DAWASA has failed to deliver. Hivi visima vilikuwepo au mipango vilikuwepo hata kabla ya merger. Tunakuja vikumbuka too late. All indicators since last year showed we may face what we are facing now.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

=====

Mradi wa maji wa Kigaboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi.

Rais amekata utepe na kukabidhi magari ya kuchimbia visima na mabwawa na kukabidhi funguo. Magari hayo yatatumika kuchimbia visima vijijini na mijini, pia ameagiza magari hayo yakatunzwe.

Rekebisha neno Kigaboni kwenye aya ya pili tafadhali.
 
11:53 AM Sahivi Mrisho Mpoto anatumbuiza na buti kavaa. Maana ardhi ya moto hatari.
 
11:54AM Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bo Fatma Almasi Nyangasa anasema maneno machache.
 
Hongera Sana Rais Samia kwa kazi kubwa na ya kutukuka unayoendelea kuifanya, Hakika Ni Rais wa kazi muda wote, Ni kiongozi aliyedhamilia kujibu kero za wananchi,Ni kiongozi aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania, Ni kiongozi anayewaza maendeleo ya watanzania wanyonge muda wote, Ni kiongozi aliye na uzalendo usio na shaka, Ni kiongozi anayekesha akiwawawaza watanzania, Ni kiongozi anaye wapenda watu wake
 
12:00 PM Katibu Mwenezi wa CCM Shaka H Shaka anamwaga cheche sahivi.
 
12:05PM Waziri wa Maji Z'Bar anasogea kwenye podium.
 
TOKA MAKTABA :

22 NOVEMBER 2021

Morogoro Vijijini
Tanzania

BWAWA LA KUHIFADHIA MAJI KUJENGWA KIDUNDA, WAZIRI AWESO AFIKA KUKAGUA ENEO LA MRADI

Bwawa la Kidunda la kuhifadhi lita 190 bilioni litakalojengwa Morogoro Vijijini kutatua changamoto ya maji mikoa ya Pwani na Dar es Salaam. Tayari wakaazi wa eneo hilo la Kidunda Morogoro vijijini wameshalipwa fidia ya shilingi bilioni 12 kupisha ujenzi wa hilo bwawa kubwa.

Source : wasafi media

More info:
21 November 2021

Bilioni 390 kujenga bwawa la Kidunda

Serikali imebainisha dhamira ya kutumia zaidi ya bilioni 390 kujenga bwawa la kuhifadhia maji katika kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro Vijijini, kama akiba ya Mto Ruvu ambao ndio chanzo kikubwa cha huduma ya maji kwa mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Bwawa hilo litakalokuwa na tuta lenye urefu wa mita 860 na kimo cha mita 21 litaweza kutunza kiasi cha lita za ujazo Billioni 190 za maji.

Vitongoji na maeneo ya Salasala, Bunju, Wazo, Makongo, Changanyikeni, Bagamoyo, Mpiji, Zinga, Kiromo, Kitopeni, Ukuni, Kerege, Buma, Mataya pia Mbezi Luisi, Kiluvya, Kibamba, Mbezi, Msakuzi, Makabe, Malamba Mawili na Msigani yatafaidika.
Source : Tanzania’s US $215m Kidunda water project to kick off in July
 
12:10 PM Waziri wa Maji wa Tanzania, Jumaa Aweso anatoa maneno ili kumkaribisha Mh Rais.
 
12:11 PM Mbunge wa jimbo la Kigamboni kakaribishwa kwanza na Aweso awasalimie wapiga kura wake.
 
Ndio hivyo hivyo anagawa samia leo, walivipeleka juzi huko kigamboni, ,
Jiwe kabisa atoe 700b za maji!?..kusambaza maji mkoa wa tabora ilienda 700b ya mhindi,jiwe angekuwa na hela hiyo ya maji angesambaza maji ya Viktoria mkoa wa singida ili ajisifu
 
Yule punda wa shamba la wanyama alikuwa na jibu lake. Kila akisikiya ahadi mpya alijibu "Punda ana maisha marefu ".
Basi tuendelee kusubiri.
 
Mradi wa Bwawa la maji Kidunda wilaya ya Morogoro vijijini Tanzania linajengwa na DAWASA mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam .

Bwawa hilo linategemea kutoa huduma ya maji kwa wakaazi wa Dar es Salaam na pia kuzalisha umeme 20 MW pamoja na kuzuia mafuriko, kutumika ktk skimu ya umwagiliaji pia uvuvi wa samaki .

BWAWA LA KIDUNDA KUMALIZA UPUNGUFU WA MAJI KWA WAKAZI WA PWANI NA DAR, WAZIRI ATEMBELEA ENEO LA MRADI MOROGORO​

MTANDA BLOG 10:02 PM KITAIFA , SLIDER

IMG_0165.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe akimzsikiliza mbunge wa jimbo la Kusini, Omari Mgumba wakati wa ziara ya waziri huyo kushoto kutembelea eneo litakalojengwa bwawa la maji la Kidunda mkoani Morogoro. Picha zote na Juma Mtanda.
IMG_0166.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe katikati na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Sudi Mpili kushoto wakizungumza mbunge wa jimbo la Morogoro kusini, Omari Mgumba.
IMG_0196.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe kushoto akimsikiliza Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Mamlaka hiyo, Profesa Felix Mtalo (katikati) wakati wa ziara ya waziri huyo kutembelea eneo litakalojengwa bwawa la maji la Kidunda mkoani Morogoro na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo.
IMG_0231.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe akizungumza jambo katika ziara hiyo.
IMG_0252.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe (Mwenye kofia ngumu) akielekezwa jambo na Profesa Filex Mtalo wakati wa ziara hiyo, wa kwanza kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo
IMG_0270.jpg
IMG_0291.jpg

Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo, Waziri Kamwelwe (Mwenye kofia ngumu), Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven na Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine mara baada ya kumalizika kwa ziara hiyo.
IMG_0294.jpg
Waziri Kamwelwe kulia na Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo kushoto wakiondoka eneo la mto Ruvu baada ya waziri huyo kumaliza kukagua eneo hilo litakalo jengwa tuta kwa ajili ya bwawa la maji Kidunda.
IMG_0300.jpg

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven kulia akizungumza na Waziri Isaack Kamwelwe, kushoto ni Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Omari Mgumba.
IMG_0335.jpg

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe kushoto akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara wakati wa ziara hiyo.
IMG_0340.jpg

Meneja Uhusiano Jamii wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Neli Msuya akimweleza jambo Waziri Kamwelwe wakati wakielekea kumuonyesha jiwe lenye alama iliyowekwa mwaka 1967 na wakoloni kama sehemu ya ujenzi wa bwawa hilo.
IMG_0346.jpg
Waziri Kamwelwe wa pili kutoka kushoto akionyeshwa alama ya jiwe (Chini) katika ziara hiyo.
IMG_0355.jpg

Waziri Mhandisi Kamwelwe akifurahia jambo na Mbunge Mgumba muda mfupi baada ya kumaliza kukagua eneo litakalojengwa bwawa la maji la Kidunda.
IMG_0361.jpg

Sehemu ya eneo la Kidunda
IMG_0363.jpg

Mkazi wa Kidunda akisubiria madereva waliokuwa kwenye msafara wa waziri ili kumpata fedha baada ya kutengeneza daraja kutokana na eneo hilo kuwa bovu kutokana na miundombinu ya barabara kuharibika na mvua za masika.

BWAWA LA KIDUNDA MOROGORO MKOMBOZI UPATIKANAJI WA MAJI YA UHAKIKA PWANI, DAR​

Na Juma Mtanda, Morogoro.
Serikali ipo kwenye hatua nzuri ya kuanza ujenzi wa kujenga bwawa la maji la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji mita za ujazo 190 milioni baada kuvunwa kutokana na mvua za masika ili kuwezesha mitambo ya uzalishaji maji ya mto Ruvu isiteteleke katika kipindi cha mwaka.

Akizungumza na viongozi mbalimbali katika eneo la Kidunda mkoani Morogoro jana, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe alisema kuwa bwawa hilo litakuwa na nyingi ikiwemo kuzalisha umeme, upatikanaji wa maji ya uhakiki kwa wakazi wa Dar es Salaam na viwanda baada ya kukamilika ujenzi wake.

Mhandisi Kamwelwe alisema kuwa moja ya faida ya kwanza bwawa hilo litazalisha umeme wa megawati 20 na kutoa faida ya mitambo ya maji ya Ruvu kuendelea kuzalisha maji mwaka mzima bila kuteteleka kutokana na kupungua kwa kina cha maji vipindi vya kiangazi.

“Serikali imekuwa ikisisitiza kuwekeza sekta ya viwanda na vimekuwa vikitumia zaidi maji hivyo lazima tujipange kwa kutengeneza miundombinu bora ya upatikanaji maji ya uhakika lakini na umeme umekuwa sehemu ya matumizi makubwa kwenye viwanda.”alisema Mhandishi Kamwelwe.

Katika ziara hiyo, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Profesa Felix Mtalo alimweleza, Mhandishi Kamwelwe kuwa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa hilo litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita za ujazo milioni 190.

Profesa Mtalo alisema kuwa michakato mbalimbali tayari imefanyika ikiwemo kulipa fidia wananchi wa eneo la mradi na upanuzi wa barabara kutoka eneo la barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam.

“Michakato mingi imefanyika, Mhe Waziri na iliyobakia ni michache michache ambayo inaendelea kufanyiwa kazi ikiwemo kuhamisha makaburi na mambo mengine ya kitalaamu.”alisema Profesa Mtalo.

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandishi Romanus Mwang’ingo alisema kuwa mpaka sasa mamlaka hiyo tayari imelipa fedha za fidia kiasi cha sh11 bilioni kwa wananachi 2603 wa vijiji viwili ili kupisha mradi huo.

Mhandishi Mwang’ingo alisema kuwa wananchi hao waliolipwa fidia wamegawanyika katika makundi mawili ya vijiji na wale waliopisha barabara.

Alitaja vijiji vilivyopisha mradi huo kwa upande wa bwawa kuwa ni Bwila Chini yenye vitongoji vya Kwatupa, Kwagonzi, Vikonge, Kariakoo, Nyagongo na Mnambala huku kijiji cha Kiurumo kikiwa na vitongoji vya Vidwali, Mikoroshini na Mbuyuni.

Kwa upande wa barabara ni pamoja na Matuli, Kwaba, Chanyumbu, Mkulazi na Diguzi.

“Kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Kidunda kutasaidia mitambo ya maji ya Ruvu kufanya kazi kipindi chote cha mwaka maana, kipindi cha kiangazi mto Ruvu umekuwa ukipungua maji na mitambo yake kuwa katika wakati mgumu wa kufanya kazi.”alisema Mhandishi Mwang’ingo.

Mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda utapoanza utajengwa kwa kipindi cha miaka miatatu hadi kukamilika kwake na bwawa hilo litakuwa na maisha kwa miaka 30 huku likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuachiliwa maji mita za ujazo 24 kwa sekunde na kuwezesha mitambo ya maji ya Ruvu kufanya kazi kipindi chote cha mwaka mzima.

Hiii nchi hatuwezi fika mahali,yaani,kila linapokuja tatizo la kitafa vijana kama ww uliyeleta huu ujinga hapo juu mnauibuka tu kupoteza mana za hoja,mnakuja na hizi picha zenu kila siku kuitetea serikali iliyoshindwaa!!
 
Back
Top Bottom