Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.

Katika mkutano huo uliohusisha wadau hao, Rais Samia amesisitiza kuimarisha Ushirikiano na wadau hao pamoja na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za Uwekezaji ili nchi za Afrika zizidi kuzalisha kwa tija.

Sami1.jpg

Samia.jpg

Samiaaa.jpg

PICHA: IKULU
 
Jamani hata huku wawekezaji wapo tatizo ni sheria zetu za kodi

Hawa hawa akina Chuwa, Lema, Mahmoud, Mwinuka, Ngosha nk wanatosha sana tu.

Mambo ya Agency notice nayo ni changamoto kubwa mno.
 
Jamani hata huku wawekezaji wapo tatizo ni sheria zetu za kodi

Hawa hawa akina Chuwa, Lema, Mahmoud, Mwinuka, Ngosha nk wanatosha sana tu.

Mambo ya Agency notice nayo ni changamoto kubwa mno.
Wambie wafuatilie kwenye sekta husika Rais Samia Suluhu ameregeza sana masharti ya uwekezaji sio kama zamani hasa muwekezaji wa ndani anapewa zaidi kipaumbele
 
Jamani hata huku wawekezaji wapo tatizo ni sheria zetu za kodi

Hawa hawa akina Chuwa, Lema, Mahmoud, Mwinuka, Ngosha nk wanatosha sana tu.

Mambo ya Agency notice nayo ni changamoto kubwa mno.
Watanzania Wana criminal minds , akili zao ni kwenye kukwepa Kodi na hii hupelekea kujihisi wanaumizwa.

Tuseme tu ukweli ,uwekezaji mkubwa watanzania hawauwezi acha mama akalete wa huko ambao wamezoea kulipa Kodi kwa hiari tena kubwa
 
Ukiweza tumia maneno hayo kwa Wawekezaji Uchwara ambao kila kukicha wanadai ni sera za Kodi zetu ndizo tatizo, utakuwa unatendea haki Watanzania badala ya... kuwaita Majambazi ukijuwa kwamba hilo silo la Kweli

Ukweli Watanzania kodi wanalipa. Wafanyabiashara na wawekezaji uchwara ndio wakwepa kodi(kwa hiari). Ndio majambazi Afrika. Proved and articulated in various reports, e.g The Pandora papers Report.

To blantantly call the Tanzanians have criminal minds is reckless and abhorring.

Hama nchi uende pasipo na hao watu. Shenzi taipu we
 
Back
Top Bottom