Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wambie wafuatilie kwenye sekta husika Rais Samia Suluhu ameregeza sana masharti ya uwekezaji sio kama zamani hasa muwekezaji wa ndani anapewa zaidi kipaumbeleJamani hata huku wawekezaji wapo tatizo ni sheria zetu za kodi
Hawa hawa akina Chuwa, Lema, Mahmoud, Mwinuka, Ngosha nk wanatosha sana tu.
Mambo ya Agency notice nayo ni changamoto kubwa mno.
Acheni michezo yenu ya kupika data na kuchezea takwimu, Uchumi unaokua kwa 5.6% kutoka 4.0 ni jambo dogo unadhani.Toka aanze kujadiliana na wawekezaji kwa nini nchi inazidi kuanguka zaidi kiuchumi awamu yake toka tupate uhuru.
Watanzania Wana criminal minds , akili zao ni kwenye kukwepa Kodi na hii hupelekea kujihisi wanaumizwa.Jamani hata huku wawekezaji wapo tatizo ni sheria zetu za kodi
Hawa hawa akina Chuwa, Lema, Mahmoud, Mwinuka, Ngosha nk wanatosha sana tu.
Mambo ya Agency notice nayo ni changamoto kubwa mno.
Ukiweza tumia maneno hayo kwa Wawekezaji Uchwara ambao kila kukicha wanadai ni sera za Kodi zetu ndizo tatizo, utakuwa unatendea haki Watanzania badala ya... kuwaita Majambazi ukijuwa kwamba hilo silo la KweliWatanzania Wana criminal minds , akili zao ni kwenye kukwepa Kodi na hii hupelekea kujihisi wanaumizwa.
Tuseme tu ukweli ,uwekezaji mkubwa watanzania hawauwezi acha mama akalete wa huko ambao wamezoea kulipa Kodi kwa hiari tena kubwa