Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?!
NB: Akumbukwe Ndugai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliona mbali ingawa ilikuwa si kwa nia njema bali kumkosa Magufuli na kutomkubali Samia .... but behind the unintended, he had a good idea!NB: Akumbukwe Ndugai.
Safi Sana,mbona huleti mchanganuo wa matumizi?View attachment 2403580
Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?!
NB: Akumbukwe Ndugai.
Watawala wa Afrika hata mkikopa na Kodi mtalipaYanga oyeeee
Ruto: Ndugu zangu tuna option mbili tu ama Tuendelee kukopa au Wadosi walipe kodi kwa sababu walipakodi ni Mama mboga tu
Tumboni, unajirusha ufahamu.Na tozo zinaelekea wapi sasa?
nasikiliza nyimbo ya roma mkatoliki "2050 " Tanzania eeehView attachment 2403580
Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?!
NB: Akumbukwe Ndugai.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Bandari imeuzwa mchana kweupe
Mwacheni Mama Afanye KAZI YakeBandari imeuzwa mchana kweupe
Mwanamke asipewe nchi tena,Malawi walishaona haya na hawatarudia tena kamwe.View attachment 2403580
Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?!
NB: Akumbukwe Ndugai.
Raisi hawezi kuacha kufanya kazi yake. Usimfanye kuwa yeye ni mtoto mdogoMwacheni Mama Afanye KAZI Yake
Kazi yake ya uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?Mwacheni Mama Afanye KAZI Yake