Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Hapo mwenye basic 940000 zidisha mara 23.3 gawanya kwa 100 ndipo utapata alichoongezewa
No haipo hiyo, set up ya mshahara inaanza pale chini kwenye kima cha chin, kutokana na hilo nyongeza itakuwa kati 60000_ 80000 kulingana na daraja uliopo ili kuepuka utofauti mkubwa was mishahara kwa kutumia formula ya % ya mshahara
 
Utofauti wa Mshahara unakuwa adjusted na Kodi, usikaze ubongo.
 
Kwanini itamkwe ikiwemo kima cha chini. Kwani wao sio watumishi wa Umma ?
Hizi lugha ni za ubabaishaji.

Lugha rafiki ni kusema watumishi wa uma wataongezewa kiasi kadha au la kama miaka hii ya karibuni.
 
Samahani mkuu, unafanya kazi TCRA? Maana niliona wajuvi humu wakisema huo ndo mshahara wa afisa wa kawaida huko TCRA.

Kama ni serikali kuu, kwa hilo lifiga, unapaswa kuwa unajua kinachoendelea au utumbuliwe tu, hamna namna.
sio kwel hio kevel ni ya km huko

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini itamkwe ikiwemo kima cha chini. Kwani wao sio watumishi wa Umma ?
Hizi lugha ni za ubabaishaji.

Lugha rafiki ni kusema watumishi wa uma wataongezewa kiasi kadha au la kama miaka hii ya karibuni.
Kimya cha chini kina implications kubwa zaidi kwenye hesabu za mishahara.
 
Ni la kushangaza,usichikielewa wewe ni kwamba hiyo nyongeza haitajwi tuu ilimradi bali ni kulingana na uwezo wa kifedha wa serikali na tija ..

Ndio maana barua ya Ikulu imegusia Pato la Taifa yaani GDP
 
Ni sawa ila inaendana na dhamana ambayo Katiba imempa...

Lawama kwake na Pongezi na sifa kwake kama nyie mnavyoimbaga Mwamba wenu awavushe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo kuna sentensi mbili zinazo jitegemea.

1. Raisi amekubali nyongeza ya mishahara.

2. Raisi amekubali nyongeza ya mishahara ya kima cha chini kwa asilimia 23.3.

Sasa hapo hao ambao sio wa kima cha chini wataongezwa kwa kiasi gani ?

Lakini msijali nchi ina fulsa nyingi za kujiongezea kipato.
 
Povu hili πŸ‘‡

Povu la chuki,aongezewe mtumishi ikuume wewe 😬😬

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…