Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Hapo mwenye basic 940000 zidisha mara 23.3 gawanya kwa 100 ndipo utapata alichoongezewa
No haipo hiyo, set up ya mshahara inaanza pale chini kwenye kima cha chin, kutokana na hilo nyongeza itakuwa kati 60000_ 80000 kulingana na daraja uliopo ili kuepuka utofauti mkubwa was mishahara kwa kutumia formula ya % ya mshahara
 
No haipo hiyo, set up ya mshahara inaanza pale chini kwenye kima cha chin, kutokana na hilo nyongeza itakuwa kati 60000_ 80000 kulingana na daraja uliopo ili kuepuka utofauti mkubwa was mishahara kwa kutumia formula ya % ya mshahara
Utofauti wa Mshahara unakuwa adjusted na Kodi, usikaze ubongo.
 
Ela za nyongeza ya mishahara angeajili vijana wanaotapakaa mtaani
Mtaa gani huko? Mbona hukuniambia Dhalimu wenu aajiri hao vijana?

Samia sio stupid like yule dude wenu,mwaka mpya wa Fedha 2022/2023 ataajiri zaidi ya 30,000 na Tamisemi peke yake wataajiriwa idadi hii hapa 👇

Screenshot_20220514-075608.png
 
KISWAHILI sio lelemama ndugu....yani kichwa cha habari ya barua ile ni kupanda kwa mshahara ..... na pale chini kwenye maelezo sasa wameweka neno IKIWEMO na kima cha chini..
Hawa wanaokaza shingo hapa kuwa 23.3% ni ya kima cha chini tu ndio wale waliosema watumishi wa umma walie tu nyongeza mwaka huu hakuna.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwanini itamkwe ikiwemo kima cha chini. Kwani wao sio watumishi wa Umma ?
Hizi lugha ni za ubabaishaji.

Lugha rafiki ni kusema watumishi wa uma wataongezewa kiasi kadha au la kama miaka hii ya karibuni.
 
Samahani mkuu, unafanya kazi TCRA? Maana niliona wajuvi humu wakisema huo ndo mshahara wa afisa wa kawaida huko TCRA.

Kama ni serikali kuu, kwa hilo lifiga, unapaswa kuwa unajua kinachoendelea au utumbuliwe tu, hamna namna.
sio kwel hio kevel ni ya km huko

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini itamkwe ikiwemo kima cha chini. Kwani wao sio watumishi wa Umma ?
Hizi lugha ni za ubabaishaji.

Lugha rafiki ni kusema watumishi wa uma wataongezewa kiasi kadha au la kama miaka hii ya karibuni.
Kimya cha chini kina implications kubwa zaidi kwenye hesabu za mishahara.
 
Kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania , nyongeza ya mshahara wa wafanyakazi kila mwaka ni takwa la kisheria , limo ndani ya Katiba ya Nchi ambayo kila kiongozi mwenye akili timamu anapaswa kuifuata , hii ni kwa sababu aliapa kuilinda na kuitii .

Kwa Hiyo kwa Mama kuongeza mshahara kwa hizo 23.3 % si ajabu na wala si jambo la kushangaza , Kwa vile amefuata matakwa ya Katiba ya nchi kama inavyomuelekeza , nyongeza ya mshahara si mapendo ya Rais , amelazimishwa ndani ya Katiba , hakuna haja ya kumsifia as if Mshahara huo ameongeza kutoka nyumbani kwake , sana sana apongezwe kwa kuanza kuijua vizuri Katiba ya nchi .

Ikumbukwe kwamba sipingi nyongeza ya mshahara kwa Wafanyakazi wa Tanzania makapuku , waliosomeshwa namba kwa miaka 7 , isipokuwa nanyoosha tu maelezo kwamba KUPANDA KWA MSHAHARA SI HISANI YA RAIS , BALI NI MATAKWA YA KATIBA YA NCHI .

Naomba kuwasilisha .
Ni la kushangaza,usichikielewa wewe ni kwamba hiyo nyongeza haitajwi tuu ilimradi bali ni kulingana na uwezo wa kifedha wa serikali na tija ..

Ndio maana barua ya Ikulu imegusia Pato la Taifa yaani GDP
 
Swadakta ! Unajua kuna ule uzushi kwamba "Mama katoa hela ya barabara au sijui ya mradi fulani , au sijui hela ya mama hailiwi " kiukweli mama hana hata shilingi na wala halipi hata kodi , hii ni hela ya Nchi , na hata yeye mwenyewe analipwa Mshahara na marupurupu kutokana na hela hii hii ya Umma , inakuwaje tunaambiwa ni hela yake ? hatutakubali hata kwa bunduki .
Ni sawa ila inaendana na dhamana ambayo Katiba imempa...

Lawama kwake na Pongezi na sifa kwake kama nyie mnavyoimbaga Mwamba wenu awavushe 😂😂
 
Ni kweli ila umekosea ku quote kidogo barua inasema "...amekubali ongezeko la mshahara IKIWEMO kima cha chini kwa 23%... ". Yaani neno ongezeko limeanza halafu wakamalizia na IKIWEMO kima cha chini then asilimia ikafuata.

Zuhura Yunus amejua kuleta mjadala kwa maneno yake aliyotumia
Hapo kuna sentensi mbili zinazo jitegemea.

1. Raisi amekubali nyongeza ya mishahara.

2. Raisi amekubali nyongeza ya mishahara ya kima cha chini kwa asilimia 23.3.

Sasa hapo hao ambao sio wa kima cha chini wataongezwa kwa kiasi gani ?

Lakini msijali nchi ina fulsa nyingi za kujiongezea kipato.
 
Achana na Hilo zezete,ni majitu ambayo hayajielewi kazi ni kushangilia Kila kitu kinachotokea,sukuma gang sijui linamanisha Nini,Mimi nayaonaga masenge tu,ndo hayo yanayolalamika maisha magumu Kila siku,yanategemea serikali iwape chakula bila kufanyakazi,siku serikali ikisema hailipi kabisa mshahara utaona wanashawishi maandamano,
Povu hili 👇

2738144_JamiiForums764709745.jpg
 
Wewe ni likapuku la wapi,unategemea hicho kimshahara chako ujenge nyumba,ya tope au? Jiongeze na wewe,fanya na shuguli zingine ,hicho kimshahara chako Kila mwisho wa mwezi unamadeni eti 23.3% ndo ikukomboe,inawezekana hata card Yako ya benki Huwa unaicha Kwa wafanyabiashara mwisho wa mwezi unagawana Nao,ndo maana unasema sukuma gang,Acha ujinga jishugulishe,uza hata mchicha kama shugulizi zingine huwezi usibaki kusubiria mwisho wa mwezi huku ukilaumu sukuma gang mjinga wewe
Povu la chuki,aongezewe mtumishi ikuume wewe 😬😬

200 (13).gif
 
Back
Top Bottom