Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Serikali Haina hela ya kulipa viinua mgongo... Usifikiri watu wanapenda kukaa maofisini hadi 60 years.. fao la kujitoa limesitishwa
kuna kundi kubwa sana la wazee wenye umri wa kustaafu lkn bado wapo maofisini, wanaziba nafasi za nguvu mpya, klnadhani kuna haja ya Wizara kufanya ukaguzi kwenye eneo hili ili kuleta tija kazini
 
kuna kundi kubwa sana la wazee wenye umri wa kustaafu lkn bado wapo maofisini, wanaziba nafasi za nguvu mpya, klnadhani kuna haja ya Wizara kufanya ukaguzi kwenye eneo hili ili kuleta tija kazini
Hutasalia kiwa kijana milele.
 
nKushauri tu rizki atoa mola.kama umekosa SERIKAL Na umri wako tena umeenda basi acha kudis.watakuja hta wadogo zako wawe watumish sio lazm uwe n wew mana naona umeonamgea i.p.p i.e innterNaltional pumba points
 
UVCCM_ TAIFA
MEI 18, 2022

MAMA TUNAKUELEWA:
Watumishi wa kada mbalimbali Wanampongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN, Hii ni baada ya Mhe. Rais kuongeza mshahara kwa Kiwango cha Asilimia 23.3, kupandisha madaraja watumishi kwa idadi kubwa pamoja kuboreshea huduma nzuri za watumishi ikiwemo kupunguza kodi katika mishahara (Paye) kutoka Asilimia Tisa (9%) Hadi kushuka mpaka asilimia nane (8%).

#AlipoMamaVijanaTupo
#MamaTunakuelewa
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
 
πŸ™„πŸ˜¬
 
Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,

Watu wanabisha tu aisee
Mliambiwa hamna akili mnasema mnatukanwa. vipi leo imekuwaje? Huwa najiuliza Kama uelewa wenu ndio huu huko ofisini kasi mnafanyaje?
 
Watanzania tuna shida gani?

Hilo tangazo mmesoma vizuri kabla ya kuanza kubishana kuhusu kima cha chini?

Nanukuu " NYONGEZA YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA IKIWEMO KIMA CHA CHINI KWA 23%"

sasa kuna wengine mmeonna KWA KIMA CHA CHINI tu.
Nimekuja kugundua walimu wengi hamjui kusoma na kuelewa chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…