Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Waalimu bhanaNjooni na calculation wengine hata hatuelewi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waalimu bhanaNjooni na calculation wengine hata hatuelewi.
Mwaka wa uchaguziKwahyo ongezeko lijalo ni after 2025
kuna kundi kubwa sana la wazee wenye umri wa kustaafu lkn bado wapo maofisini, wanaziba nafasi za nguvu mpya, klnadhani kuna haja ya Wizara kufanya ukaguzi kwenye eneo hili ili kuleta tija kaziniSerikali Haina hela ya kulipa viinua mgongo... Usifikiri watu wanapenda kukaa maofisini hadi 60 years.. fao la kujitoa limesitishwa
Hutasalia kiwa kijana milele.kuna kundi kubwa sana la wazee wenye umri wa kustaafu lkn bado wapo maofisini, wanaziba nafasi za nguvu mpya, klnadhani kuna haja ya Wizara kufanya ukaguzi kwenye eneo hili ili kuleta tija kazini
nKushauri tu rizki atoa mola.kama umekosa SERIKAL Na umri wako tena umeenda basi acha kudis.watakuja hta wadogo zako wawe watumish sio lazm uwe n wew mana naona umeonamgea i.p.p i.e innterNaltional pumba pointsNadhani sasa ni wakati muafaka kwa Serikali kuangalia na kupunguza UMRI wa kustaafu watumishi wa Umma.
Umri wa kustaafu upunguzwe uwe Miaka 50 kustaafu kwa hiari na miaka 55 iwe ni umri wa kustaafu kwa Lazima.
ili vijana nao wapate ajira, maana kuna wazee wanataka kuifia kazini, wanaziba nafasi za vijana.
UMRI wa kustaafu upunguzwe
kuwepo kwa ajira za mkataba kwa kazi za msingi.
Usiamini kila ukionachoNimeikuta sehem View attachment 2224568View attachment 2224569
😂😂Hii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili
kwa hicho kicheko utakuwa mchochezi tu 😂😂😂😂
🙄😬UVCCM_ TAIFA
MEI 18, 2022
MAMA TUNAKUELEWA:
Watumishi wa kada mbalimbali Wanampongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN, Hii ni baada ya Mhe. Rais kuongeza mshahara kwa Kiwango cha Asilimia 23.3, kupandisha madaraja watumishi kwa idadi kubwa pamoja kuboreshea huduma nzuri za watumishi ikiwemo kupunguza kodi katika mishahara (Paye) kutoka Asilimia Tisa (9%) Hadi kushuka mpaka asilimia nane (8%).
#AlipoMamaVijanaTupo
#MamaTunakuelewa
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendeleeView attachment 2229868
Wenye akili.mlielewa, Ila walimu ikawa shida kuelewaHii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili
Ndio.maana watu wanasema walimu hamna akili.23.3% Kwa kima cha chini maana yake ni NYONGEZA KWA LEVEL ZOTE, KUANZIA CHINI.
Mliambiwa hamna akili mnasema mnatukanwa. vipi leo imekuwaje? Huwa najiuliza Kama uelewa wenu ndio huu huko ofisini kasi mnafanyaje?Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,
Watu wanabisha tu aisee
Nimekuja kugundua walimu wengi hamjui kusoma na kuelewa chochoteWatanzania tuna shida gani?
Hilo tangazo mmesoma vizuri kabla ya kuanza kubishana kuhusu kima cha chini?
Nanukuu " NYONGEZA YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA IKIWEMO KIMA CHA CHINI KWA 23%"
sasa kuna wengine mmeonna KWA KIMA CHA CHINI tu.