Mara chache sana kumsikia akihubiri haki, unadhani ni kwa nini?Hili ni angakizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani.
wapo wanaitaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
Kwani yeye anaitakia amani kwa uzwazwa wa anayotenda na waliomzunguka?Hili ni angakizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani.
wapo wanaitaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
Nenda Congo, somalia, ukraine kaishiNeno amani lilishapoteza maana yake. Tanzania hakuna amani.
CrapNeno amani lilishapoteza maana yake. Tanzania hakuna amani.
TruthCrap
DuuuuuuuYeye mwenyewe pandikizi,si alisema yupo Boss wake.
Duuuuuuu
we ni nani unayeichuria nchi mabaya? Kama vipi futeni vyama vingi kibaki kimoja ili amani iendelee kutawala kwa kuwa kutakuwa hakuna mawazo kinzaniHili ni angakizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani.
wapo wanaitaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
Watanzania walio wengi wanajua sana tu. Wewe jiulize mtu anataka kukinukisha hapa nchini wakati familia yake ipo Ubelgiji, Marekani na Canada lakini anahamasisha watz wapigane wakati familia zao haziko nchini na wala hazijawahi hata kuja kuwaona hata siku moja pamoja na kuwa ndani kwa muda wa zaidi ya miezi 4.Hili ni angakizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani.
wapo wanaitaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
Rushwa ndio kabisaaa! Huwezi sikia akikemea rushwa.Mara chache sana kumsikia akihubiri haki, unadhani ni kwa nini?
Msaliti ni yule aliyeuza mgodi wa madini ya makaa ya mawe kwa Rostam badala ya serikali kununua.Watanzania walio wengi wanajua sana tu. Wewe jiulize mtu anataka kukinukisha hapa nchini wakati familia yake ipo Ubelgiji, Marekani na Canada lakini anahamasisha watz wapigane wakati familia zao haziko nchini na wala hazijawahi hata kuja kuwaona hata siku moja pamoja na kuwa ndani kwa muda wa zaidi ya miezi 4.
Zakuambiwa changanya za kwako. Hongera Watz kwa kung'amua utapeli wa hawa masaliti ya nchi yetu(Lissu na Lema).
Rostam ni mtanzania ukoo wake upo Igunga.Msaliti ni yule aliyeuza mgodi wa madini ya makaa ya mawe kwa Rostam badala ya serikali kununua.
Source: Kutoka kwa Polepole, CCM cadre.