Rais Samia akumbushia kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje

Rais Samia akumbushia kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje

Rostam ni mtanzania ukoo wake upo Igunga.
Sijasema sio mtanzania. Angeweza kuuziwa hata mbunge Msukuma na bado ningesema. Serikali ilikuwa tayari kununua hizo asilimia na ilitafuta pesa, kiongozi mkubwa sana kaingilia kati kasema auziwe Rostam. Huyo kiongozi analinda maslahi ya nchi?
 
Samia anataka kutumia Adui wa mchango kuwauzia WaTz uoga ili wasahau deals za wakina Rostam, Kikwete nk. Mchezo huu walicheza madikteta wengi kuendelea kuwatawala watu walio watia uoga! Samia tushasanuliwa na Tundu na sasa Polepole! Stop playing with emotion!
 
Ukisikia Rais au kiongozi wa dini ana hubiri amani huku anaipiga vita HAKI... tambua huyo ni laana ya taifa ...samia hataki haki ila anataka Amani ?🙄🙄👉💩💩💩💩
 
Hili ni angakizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani.
wapo wanaitaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo

..yeye Mama Abduli katoka ughaibuni Zanzibar. Na anaitawala Tanganyika kwa maslahi ya watu wa nje.
 
Kila siku mnatutishia amani ili muendelee kupiga na familia zenu
 
Back
Top Bottom