Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mama si mpemba mkuu....Imetoka hiyo. Mpemba akafanye nini Dodoma?
Ila Wapemba wako mpaka MAKETE NA MAFINGA wanademkia baridi kali huko.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama si mpemba mkuu....Imetoka hiyo. Mpemba akafanye nini Dodoma?
Wapinzani bado wanapambana na Legacy ya JPM wanasahau kuna uchaguzi 2025.Naona upinzani silaha chini...mmebaki kudemka.
Hao middle men ndio wanatakiwa kutoa hayo mnayodai. Dangote ameshashift responsibility.Madereva wake wameajiriwa kama contractors badala ya kupewa full time employment, hilo linawakosesha haki zao za kisheria nyingi ikiwemo uhakika wa kazi zao, kuingizwa kwenye pension schemes, na faida wanazopewa wafanyakazi wenzao; bila ya kusahau kupoteza PAYE za TRA.
Hayo ndio mambo ya kumkubusha na yeye. Juzi tu madereva wa Dangote walikuwa kwenye mgomo kisa kuchukuliwa kama vibarua wakati watu wanafanya kazi sehemu moja zaidi ya miaka miwili, hakuna madereva wenye mkataba wa kudumu na kampuni; kuna middleman anaewapa ajira na kuwapunja kwa kuwakata kilicho chao, bila ya ulazima.
Wafanyabiashara sio kuja kuomba mazingira mazuri tu, bali na wao waweke mazingira mazuri kwa waajiriwa, sakata lote la mgomo limeenda karibu week nzima Mhagama kama alikuwa aoni vile na nina uhakika wale madereva madai yao ya msingi ayajatatuliwa.
kabisa ata mim naona hivo..KAZI IENDELEKuna uwezekano mkubwa, Ikulu ya Chamwino haitaendelea kutumika.
Sio kuukubali mziki,la hasha! mnalazimisha Tume Mapolisi Askari wa Magereza na Dola nzimaHatimaye makamanda uchwara waukubali muziki wa chama tawala.
Kila zama na kitabu chake. JPM alitufaa kwa wakati ule ila sasa twende na mama yetu kipenzi.... huyu Mama PR iko juu sana kuliko mtangulizi! Chama kingekuwa makini, kama ilikuwa ni lazima wawili hawa washike madaraka ya juu, basi mtangulizi aliitakiwa awe msaidizi wa Mama toka mwanzo kabisa.
CCM hoyee!Hawezi akawa na PR kama ya Mkapa na Kikwete ambapo migodi ya Tanzania, serikali ilimiliki % ndogo sana na ushuru kiduchu. Wakati Magufuli share na kodi vilipanda exponentially!
Kama hatupigwi mahali popote sawa, lakini kama ni mtindo wa zile awamu 3&4 we are finished!
Hao wafanyabiashara nao walipe kodi kama inavyostahiki. Kukwepa kodi kwa nchi kama Sweden ni aibu kama vile kutembea mtupu mbele na watoto wadogo.View attachment 1796166
Safi sana Samia Suluhu Wafanyabiashara sio maadui kama walivyofanywa na Utawala wa Mwendazake.
Makamanda wanaendelea KUTEPETESHWA....Hatimaye makamanda uchwara waukubali muziki wa chama tawala.
Mbona unaanza kujifaragua?Sio kuukubali mziki,la hasha! mnalazimisha Tume Mapolisi Askari wa Magereza na Dola nzima
Tunataka Tume HURU halafu tuingie kwenye uwanja sawa mkitushinda ndio lianze kubwabwaja.
View attachment 1796230
Na watatepeteshwa kweli kweli.Makamanda wanaendelea KUTEPETESHWA....
Magufuli alimsaidia sana Dangote katika uwekazaji. Alimsaidia sana. Naona watu msiofuatilia mambo mnamchafua Magufuli. Hebu ingieni hata You-tube tu huko mtaona mazungumzo yake na Rais Magufuli. Muacheni Mama Samia afanye kazi na mmuache Hayati John Pombe Magufuli apumzike kwa amani.Sema Dangote naye ni mtu asiweza kabisa figisu. Biashara zake nyingi ustawi wake unategemea sana kulelewa na serikali. Hata Nigeria iko hivyo.
Ingawa ndio kazi ya serikali kulea sekta binafsi lakini ukipata mtawala roho mbaya kama Magu mambo yanayumba sana.
Mzee alikuwa na roho mbaya mnoo,, Bora Mungu katenda miujizajiwe alikuwa na roho ya chafu ya uharibufu. roho yake haikupenda kuona vitu vipo stable.
alikuwa anafanya kila hila ku-destabilize.
👍👍Na watatepeteshwa kweli kweli.
Kodi pia ziangaliwe upya unakuta product moja inalipiwa kodi mpaka mara tatu au NneHao wafanyabiashara nao walipe kodi kama inavyostahiki. Kukwepa kodi kwa nchi kama Sweden ni aibu kama vile kutembea mtupu mbele na watoto wadogo.
Sijifaragui ninasema ukweli mtupuMbona unaanza kujifaragua?